Kuna tatiZo mahali. Na lisipo shuhulikiwa tutajuta na hizi Sheria za kipumbavu[emoji849][emoji848]Yale yale ya basata.... Hivi kwanin wasitoze faini tu mambo yakaendelea... unakuja tia watu hasara kisa utupu ambao watu wanacheza nao kila siku kweny simu zao na tv zao.
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Acha uchizi wewe, usiseme waafrika tujipime akili zetu, wewe ndo uende ukajipime akili zako kama zipo sawa.Unaifungia wasafi miezi 6
1. Unakosa mapato kutokana na matangazo yanayotakiwa kurushwa ndani ya miezi 6 ya adhabu
2. Unakosa mapato kutokana na waajiriwa wa Wasafi kupoteza kipato( marupurupu n.k)
3. Unapunguza Wigo wa Ajira
4. Unawatisha na kuwakatisha tamaa wawekezaji waliotaka kuwekeza na waliowekeza kwenye media
Gharama yote hii unaingia kisa nguo za Giggy Money!!
Waafrika tujipime akili zetu
Jamaa kawachunia hana tena habari nao
Sio katika Hilo la wasafi. Wapewe hata adhabu ya. Kulipa faini. 6 month n kubwa mno
Wewe unaonekana unakasumba ya u team. Ni inabidi tukupuuzeWataenda popote, kwahiyo wasionywe kisa watakuwa hawana ajira? Hakna hiyo.
Sheria ni msumeno, hukata huku na huku. Safi kwa TCRA kufanya kazi yao kwa weledi
Wewe unaonekana unakasumba ya u team. Ni inabidi tukupuuze
Hawa wasanii wa bongo kwa kuiga mambo ya ajabu hawajambo.Habari ni kwa mujibu wa tweet ya Swahili Times:
HIVI PUNDE: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kituo cha televisheni, Wasafi TV, kwa muda wa miezi sita. TCRA imesema kituo hicho kimekiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui yaliyomuonesha mwanamuziki Gigy Money akionesha utupu wake akiwa jukwaani.
Kanuni ya adhabu, ni lazima iwe inaumiza! Kama hamna maumivu hiyo sio adhabu!
Tupo pamoja sana ,Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Wangefungiwa Mwaka mzima hawa
Msema kweeeeriiiii ni mupenzi wa Munguau nasema uongo ndugu zanguuuuu
Huyo hajui kwanini watu walibuni kitu inaitwa jelaKanuni ya adhabu, ni lazima iwe inaumiza! Kama hamna maumivu hiyo sio adhabu!
Wapuuzi sana, hawawezi kufanya vitu vya maana kama hivyoTcra watusaidie kurudisha local chanels zote kwenye ving'amuzi kama dstv, azam