Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
adhabu ni sawa lkn adhabu ni kubwa mno ingawa hata huwa sikai kabisa katika tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basata ni sawa na joka la kibisa tu,kazi yao wanahangaika na wabugia dona tuBASATA wangekuwa wanatekeleza wajibu wao nyimbo nyingi za bongo Flava zingefungiwa. Vijana wamekosa ubunifu wa kisanii wamegeukia kuimba matusi ya nguoni. Karibu nyimbo zote ni matusi tu. Huwezi kusikiliza au kuangalia nyimbo hizi na mtu unayemheshimu. Wameachwa sababu no wapiga debe wa chama ila madhara yake ni makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla
Kwahiyo tuvunje sheria kisa kuna mbwa kadhaa hawatolipa kodi?Maamuzi mengine ya kijinga sana sasa wanategemea kizazi cha 60's na cha sasa hivi waishi sawa?unafungia media miezi sita alafu hao wafanyakazi unataka wadange ndio wendeshe maisha?kuna watu wangapi wanaendesha maisha kwa kutegemea hicho kituo cha televevision?Serikali itakuwa imepoteza mapato kiasi gani?...
Unafanya kazi gani pale Wasafi?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] wapi. Tutapata Kodi za nyumba???
Yale yale ya basata.... Hivi kwanin wasitoze faini tu mambo yakaendelea... unakuja tia watu hasara kisa utupu ambao watu wanacheza nao kila siku kweny simu zao na tv zao.
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Usijifanye huangaliagi wasafi.. [emoji16]Kwan wasafi tv huwa wana vipindi gani ?
Ulivoondokaa sikuwahi kuiwashaa tena😂😂Usijifanye huangaliagi wasafi.. [emoji16]
Ww hakuna unachoelewa nenda nanjilinjiHii ni sheria ya kijinga sana, eti Mtu atumie silaha kufanyia uhalifu mtu huyo ahukumiwe adhabu pamoja na silaha yake aliyoitumia!!!??.
Kituo cha TV kina kosa lipi hadi kifungiwe??
Jamaa uonevu wanaofanyiwa wateja kuibiwa pesa kwenye account za simu wao hawayaoni ila kazi kusumbuka na wasanii tu.Huu ndio utupu?...hawa jamaa hawapo serious......nani kawaambia utupu upo hivi...
Aisee...
Hili linaniumiza sana, ngoja tuone waziri kawapa miezi mitatu walifanyie kazi, ni aibu mpaka mkubwa wao wa kazi aje kukumbusha this is wrong wakati ni swala lipo wazi tu yani ni as if wao hawakuona kama lina umuhimu kuwa kila king'amuzi lazima kiwe na locals chanell,Wapuuzi sana, hawawezi kufanya vitu vya maana kama hivyo
Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
Na iwe hivyo kuliko wawe serious kufungaWanataka rushwa ili adhabu ipungue (muda wa kifungo upungue). Wewe hujui tayari hapo ni deal la ulaji??!![emoji1787]