RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

adhabu ni sawa lkn adhabu ni kubwa mno ingawa hata huwa sikai kabisa katika tv
 
BASATA wangekuwa wanatekeleza wajibu wao nyimbo nyingi za bongo Flava zingefungiwa. Vijana wamekosa ubunifu wa kisanii wamegeukia kuimba matusi ya nguoni. Karibu nyimbo zote ni matusi tu. Huwezi kusikiliza au kuangalia nyimbo hizi na mtu unayemheshimu. Wameachwa sababu no wapiga debe wa chama ila madhara yake ni makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla
Basata ni sawa na joka la kibisa tu,kazi yao wanahangaika na wabugia dona tu
 
Maamuzi mengine ya kijinga sana sasa wanategemea kizazi cha 60's na cha sasa hivi waishi sawa?unafungia media miezi sita alafu hao wafanyakazi unataka wadange ndio wendeshe maisha?kuna watu wangapi wanaendesha maisha kwa kutegemea hicho kituo cha televevision?Serikali itakuwa imepoteza mapato kiasi gani?...
Kwahiyo tuvunje sheria kisa kuna mbwa kadhaa hawatolipa kodi?
 
Nimefuatilia kwa makini mijadala kuhusu adhabu ya Wasafi kutoka TCRA. Ukweli utabaki pale pale. Wasafi hamtakiwi kuwa juu ya sheria za nchi. Kama vituo vingine vinafungiwa, nyinyi ni nani msipapaswe mnapokosea? Sheria huwa haitazami una connection na nani ila rungu likishuka linashuka zima zima.

Poleni ndio kukua.
 
Adhabu ndogo hiyo wajinga sana hao wasafi, wangefutiwa leseni kabisa,nashangaa mnasema adhabu kubwa hio.

Kuna watu wameporwa Ubunge, udiwani nk na kuna kampuni zimefilisiwa chini ya awamu ya tano hii hii na hawahawa Wasafi ndio walikuwa vimbelembele wa CCM.

Nasema mitano tena na adhabu ni ndogo!
 
Hii ni sheria ya kijinga sana, eti Mtu atumie silaha kufanyia uhalifu mtu huyo ahukumiwe adhabu pamoja na silaha yake aliyoitumia!!!??.

Kituo cha TV kina kosa lipi hadi kifungiwe??
Ww hakuna unachoelewa nenda nanjilinji
Ukalime
 
Kwanza huu n kidogo Sana wangepgwa
1yrs pamoja na redio Yao kabsa ili wawe na akili
 
Huu ndio utupu?...hawa jamaa hawapo serious......nani kawaambia utupu upo hivi...
Aisee...
Jamaa uonevu wanaofanyiwa wateja kuibiwa pesa kwenye account za simu wao hawayaoni ila kazi kusumbuka na wasanii tu.
 
Unaweka General wa jeshi kama mkuu wa idara/mamlaka unategemea nini?.
Hawa watu wanatakiwa wabaki huko huko,mambo ya kuwaonjesha madaraka /Asali ndio haya.
 
Wapuuzi sana, hawawezi kufanya vitu vya maana kama hivyo

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
Hili linaniumiza sana, ngoja tuone waziri kawapa miezi mitatu walifanyie kazi, ni aibu mpaka mkubwa wao wa kazi aje kukumbusha this is wrong wakati ni swala lipo wazi tu yani ni as if wao hawakuona kama lina umuhimu kuwa kila king'amuzi lazima kiwe na locals chanell,
 
Back
Top Bottom