Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo.
Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo iliyokubaliwa na wananchi wote.
Chanzo: Nipashe
Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo iliyokubaliwa na wananchi wote.
Chanzo: Nipashe