Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

Zishafika mil 48 hadi sasa
Huna lolote, umeanza kutabiri kuwa hawatafikisha hata milioni nne, unaambiwa zishafika 48 una
Ngoja ziliwe na wajanja ndo akili zitawajia.
Huna lolote, umeanza kutabiri kuwa hawatafikisha hata milioni nne, unaambiwa zishafika 48 unaanza kulalama kuwa zitaliwa. Hizo ni tabia mojawapo za watu waliodumaa utotoni maana huwa hawakosi kulalama
 
Back
Top Bottom