yakowazi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 1,765 Reaction score 624 Aug 27, 2021 #21 Idugunde said: Hiyo mil 100 bora zitumike kukabiliana na gharama za kesi ya cheamani. Click to expand... Za kesi ziko
Idugunde said: Hiyo mil 100 bora zitumike kukabiliana na gharama za kesi ya cheamani. Click to expand... Za kesi ziko
F flank JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 325 Reaction score 538 Aug 27, 2021 #22 Erythrocyte said: Zishafika mil 48 hadi sasa Click to expand... Huna lolote, umeanza kutabiri kuwa hawatafikisha hata milioni nne, unaambiwa zishafika 48 una Darius RR said: Ngoja ziliwe na wajanja ndo akili zitawajia. Click to expand... Huna lolote, umeanza kutabiri kuwa hawatafikisha hata milioni nne, unaambiwa zishafika 48 unaanza kulalama kuwa zitaliwa. Hizo ni tabia mojawapo za watu waliodumaa utotoni maana huwa hawakosi kulalama
Erythrocyte said: Zishafika mil 48 hadi sasa Click to expand... Huna lolote, umeanza kutabiri kuwa hawatafikisha hata milioni nne, unaambiwa zishafika 48 una Darius RR said: Ngoja ziliwe na wajanja ndo akili zitawajia. Click to expand... Huna lolote, umeanza kutabiri kuwa hawatafikisha hata milioni nne, unaambiwa zishafika 48 unaanza kulalama kuwa zitaliwa. Hizo ni tabia mojawapo za watu waliodumaa utotoni maana huwa hawakosi kulalama
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Aug 27, 2021 Thread starter #23 Ezekiel Mbaga said: WaTz amkeni, mtapigwa mpaka lini.? Click to expand... Kuchangia maktaba ndio kupigwa ?
Ezekiel Mbaga said: WaTz amkeni, mtapigwa mpaka lini.? Click to expand... Kuchangia maktaba ndio kupigwa ?
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Aug 27, 2021 #24 Pythagoras said: Na Mungu akubariki Click to expand... Asante Mkuu na wewe pia....
D Darius RR JF-Expert Member Joined Feb 5, 2019 Posts 385 Reaction score 793 Aug 27, 2021 #25 Pythagoras said: Hahahaa chadema wana mapungufu yao lakini sio haya ya ufisadi Click to expand... Sabodo aliwahi kutoa hela zaidi ya mil 200 wachimbe visima, alijuta kuwafahamu.
Pythagoras said: Hahahaa chadema wana mapungufu yao lakini sio haya ya ufisadi Click to expand... Sabodo aliwahi kutoa hela zaidi ya mil 200 wachimbe visima, alijuta kuwafahamu.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Aug 27, 2021 #26 Darius RR said: Sabodo aliwahi kutoa hela zaidi ya mil 200 wachimbe visima, alijuta kuwafahamu. Click to expand... wewe ulitoa ngapi?
Darius RR said: Sabodo aliwahi kutoa hela zaidi ya mil 200 wachimbe visima, alijuta kuwafahamu. Click to expand... wewe ulitoa ngapi?