Kama MTU amefanikiwa kutoka maji "mercury* gramu 500 kwenye hayo mapango.
Je anaweza kupeleka ubaloz wa ujeruman kuuza?
Kwa wajuz, hiyo gramu 500 ya mercury inaweza kuuzwa kwa shilingi ngap za kitanzania????
Cc: MAKOSHNELI, kichunguu The Fixer
Gramu 1 ya original red mercury ambayo imehifadhiwa vyema ni zaidi ya Bil 12. Hata kama imepungua nguvu kwa maana ya mionzi yake bado inauzika na utapata bei safi tu. Pm me kwa details
Kaka, hicho kipimo unachosema una uhakika nacho?, gramu moja billion 12
Wasikupe tamaa..matapeli hawa
Gramu 1 ya original red mercury ambayo imehifadhiwa vyema ni zaidi ya Bil 12. Hata kama imepungua nguvu kwa maana ya mionzi yake bado inauzika na utapata bei safi tu. Pm me kwa details
Asante kwa kunijibu
Kabla sijaja pm Naomba unijibu * je ubalozi wa ujerumani huwa wananunua hizi hazina kama mercury???*
Wasikupe tamaa..matapeli hawa
Una hamu ya kutapeliwa? Huyo anayekwambia gram moja bilioni 12 hata hajawahi kuiona. Hizo ni stori tu za siku nyingi, za ama kujifurahisha au utapeli.
Asante mkuu kwa precaution
Ila kuna kitu nahitaj kujua ndio maana nafuatilia hii mada
Najikuta naipenda Sana jf kwa maarifa nayoyapata humu
mkuu kama nilivyoandika hapo juu wajerumani nadhan kwa uzoefu na elimu yangu naona ndio watu waliopata kuelimika zaidi hasa karne ya 17,18 na 19 coz mambo waliyoyafanya miaka hyo ya zamani with respect na technology+miundombinu ya wakati huo ni makubwa mno kwanzia ujenzi wa madaraja,nyumba,reli,meli,submarine,migodi nk we just imagine mali zao walizificha kabla ya vita ya kwanza ya dunia but hadi leo pamoja na kuendelea kwa teknolojia bado huwezi ukatoa! So simple and clear sehem walizoficha mali zao walifanya mazindiko tena makubwa sasa miongoni mwa hayo mazindiko nikama nyuki au nyoka wa miaka yote yaani unakuta hiyo sehemu kuna nyuki au nyoka hafi wali haami hilo eneo,vi2 vingine nikama majini hasa chunusi sehem zenye maji kama mito na maziwa kama wewe ni mwenyeji wa mby nenda mabatini ile njia ya kuelekea itende jeshini unapokaribia kuingia eneo la jeshi kuna kota ya kwanza mkono wa kulia ipo pembezoni mwa mto ukiipita hiyo kota umbali kama wa mita 20 mtoni kuna shimo hapo na tayari zaid ya watu 4 walishawahi potelea hapo 1 akiwa ni mwanajeshi,jeshi walishaweka tangazo hapo kuwa ni marufuku mtu kufanya shughuli zozote eneo hilo ni hatari,eneo hilo kwa wakazi wa muda mrefu wa mabatini ukiwauliza "yorodani" ndio wapi watakusimulia vi2ko vya hapo coz zamani walikuwa wanakwenda hapo kufua na kubatiza waumini wao kabla hapajapigwa marufuku,mkuu yapo maeneo mengi sana hasa mkoa wa mby na wilaya zake zote na trick nyingine wajerumani waliyokuwa wanatumia hasa katika mashimo waliyofukia mali zao ni kuweka chupa zenye mecury so ukienda lazma utumie tochi kumulika sababu ya giza so on the way kumulika endapo utamulika ile chupa yenye mercury bulbu ya tochi inapasuka kutokana na reflection ya mercury
Hapa ni igawa mbeya hizo picha ni sehem waliyotoa wajerumani mwaka huu mwezi wa 8 had wa 9 ukitaka nitafute nikupelekehapa inanifanya kusadiki kitu mji wa mbeya kuna wajerumani wengisana kuna msimu wanajaa msimu wanapungua wengi wao wanaletwa kufundisha shule za mission pia hospital za mission wapo kwenye migodi na mambo yakale hawakosekani dada zetu wengi wameolewana kupelekwa ujerumani pia baadhi ya washkaj mademu wakijerumani wamejisevia nakwenda nao kwao nilikua najiuliza why Germans in mbeya sasa nimeelewa mademu weusi kibao wamependwa na kuolewa na mijerumani
Hapa ni igawa mbeya hizo picha ni sehem waliyotoa wajerumani mwaka huu mwezi wa 8 had wa 9 ukitaka nitafute nikupeleke
Alafu dizaini waliyajenga kolocal sana.sasa serikali inaruhusije hao wajerumani kuna na vijiko na kujichotea tu??y serikali isiyachukue maeneo yote yenye izo hazina ikawa mali yake??