Rupia: Hazina ya Mjerumani

Mkuu respect
 
Kunajamaa alikua na kitako cha pasi ya mjelumani alikua anakata kilaji alivyozidiwa na mkojo akazamanayo toilet kushanga pasi ilimdondoka ikazama chooni S's labda kweli zina mauzauza hizi kitu
 
MAKOSHNELI mkuu mimi pia naishi hapa jijini mbeya uliyoyaeleza mengi nayajua so mfano bwana Lena, soko la uhindini pia kuna mti kwa babu yangu inasemekana kuna rupia maeneo hayo kikweli hata tukienda kesho ilo eneo wamejaa nyuki na hawajawahi kuhama.
Teh teh teh teh!! Hizi njaa zitawaua, eti nyuki hawahami kkkkkkkkkkkkk, unafikiri kama hiyo sehemu hao nyuki hawasumbuliwi ulitaka wahamie Lumumba ama Ufipa!?
 
MAKOSHNELI mkuu mimi pia naishi hapa jijini mbeya uliyoyaeleza mengi nayajua so mfano bwana Lena, soko la uhindini pia kuna mti kwa babu yangu inasemekana kuna rupia maeneo hayo kikweli hata tukienda kesho ilo eneo wamejaa nyuki na hawajawahi kuhama.
yaa yapo maeneo mengi sana hasa nyanda za juu kusini ambayo ni maficho ya wajerumani
 
Jamaa wewe ni kichwa nimekuelewa
 
Sasa Jpm Akafukue Hizo Mali Nchi Iage Umasikini
Nasikia Hata Ikulu Kuna Mali Za Mjerumani
 
daah...bulb ikishapasuka si ndio hautoki humo shimoni au?...aisee
 
Wataalamu wetu wa Geology wako wapi?. Maana liganga haihitaji degree kujua. Hivi vile viwanda vya mababu vya kufua vyuma vilikufaje kufaje?
 
Watu Wanahangaika Mererani Na Kufukiwa
Kwanini Hawaendi Kwenye Hiyo Hazina Ya Mkoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…