mkuu maeneo yapo mengi sana sehemu zingine nsizijui ila kama ukijiingiza katika hiyo ishu utakutana na jamaa kibao ambao kila kukicha mtakuwa mnagundua maeneo but kwa uzoefu wangu na kwa muda niliojihusishaga na hayo mambo sijawahi ona mtanzania katoa mali za wajerumani sehem walizozificha zaidi ya kumuona Lena na wajerumani wengine wanaokujaga tz kutoa refer post ya chakalikamkopo hapo juu,wengi wa watu huishia kutapeliwa,kufa na kufirisika huku wakitafuta hizo mali lakini hawapati,na unatakiwa kuzingatia kuwa ON YOUR WAY kwenda kutoa hazina ya mjerumani kuna 'DEALTH TRAP' kwa kiswahili ningesema MITEGO YA KIFO hasa kwa hazina zilizofukiwa ardhini,mfano ni PROXIMITY BOMBS,WIRE FUSED BOMBS,CABON CHAMBERS(VOIDS),MERCURY,ACIDY,MASHETANI,MAJI, NK ....so wao wakati wakiwa wanatoa huwa wanajua SAFE entry positions ambazo huwezi ukajua hadi uwe na ramani origina ya huyo aliyedesign hilo shimo,labda kwa kuongezea katika post ya chakalikamkopo nikwamba Nyerere alipokwendaga marekani immediately baada ya kupata uhuru kilichompeleka huko ni kwenda kuomba msaada wa ujenzi wa reli tokea DAR ES SALAAM hadi KAPIRI MPOSHI lakini wengi hawajui nikuwa ile trip ilikuja baada ya wanakijiji fulani wakishirikiana na baadhi ya maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati huo walimkamata mjerumani mmoja ambaye alikutwa katokea katika pori la seluu akiwa na baadhi ya madini na baadhi ya ramani! sasa nikwamba katika pori la seluu ukiingilia KIBITI mkoani pwani takribani km kama 200 hivi kuna boma la zamani sana la mjerumani ambalo inasemekana mjerumani huyo alitokea hapo sasa kitu ambacho ni interested nikwamba moja ya ramani ambazo alikutwa nazo ni surveyed map ya reli ambayo wajerumani walifanya coz walikuwa na lengo la kuunganisha makoloni yao yote kwa njia ya reli kutokea germany east africa(tanganyika) hadi BOTSWANA na baadhi ya ramani zenyekuonyesha maeneo yaliyohifadhiwa hazina so zilipomfikia mchonga ndio akapata wazo la kujenga reli ya TAZARA! na akajenga shule,na kambi za jeshi sehemu ambazo kulikuwa na hivyo vitu but sio zote coz hakupata ramani zote,sasa katika kuhaha kutafuta watu wa kujenga akaenda kwa JF KENEDDY kuomba msaada ,jfk alipojua kuwa jamaa ni kichwa na kajua nini walichoacha wamarekani akamwambia usa haiko tayari kuisaidia tz kwa kipindi kile (coz tulikuwa upande wa china na russia) ila yeye binafsi AKAMPA NYERERE KITABU AMBACHO ALIAMBIWA AKISOME KITAMSAIDIA! inasadikiwa kile kitabu kilikuwa na ramani zote za Hazina wajerumani walikoficha na sehemu zenye madini ambazo wajerumani walifanya survey ambazo wamarekani walizipata baada ya kuipiga ujerumani ktk vita kuu ya 2 ya dunia CIA walipojua kuwa JFK kampa copy ya hicho kitabu WAKAMUIBIA JKN KABLA HAJAONDOKA IKULU YA WHITE HOUSE!,mchonga baada ya kuona hayo akaendazake china kuomba msaada wa kujenga reli tokea dar ha kapirimposhi zambia MAO wakati huo wameshibana sana na JKN ukawa msaada ambao hadi leo tunayo hiyo reli,sasa baada ya wachina kuja wao walipewa tu ile ramani ya mjerumani na kufanya survey kidogo tu na wakaanza ujenzi sasa marekani na uingereza wakahisi kuwa huenda wachina wanajua kuhusu hazina za mjerumani na wangeweza kutoa so nao ili wawe karibu kupeleleza nini kinaendelea wakaahidi kutoa msaada wa kujenga BOMBA LA MAFUTA NA BARABARA KUTOKEA DAR HADI ZAMBIA! na kama hujui kulishatokea mapigano kati ya wahandisi wa kichina na marekani, waingeleza sehemu ambazo hivi vitu viwili vilikuwa vinapishana mfano ni nipale usangu ambapo leri inavuka barabara hadi nyerere aliamua maeneo kama hayo ujenzi wa bomba na barabara urukwe serikari yenyewe itakuja kumalizia sjamaa wanatujua ndani nje nje ndani kila kitu thats y usishangae migodi mikubla inatoka canada ,usa na kwingine kote inakuja moja kwa moja tz hata hawahangaiki kufanya sijui upembuzi yakinifu nk ..............