SoC03 Rushwa bado tishio kituo cha Polisi Mjini Shinyanga, wananchi masikini wanakosa haki zao

SoC03 Rushwa bado tishio kituo cha Polisi Mjini Shinyanga, wananchi masikini wanakosa haki zao

Stories of Change - 2023 Competition

Mapuli Misalaba

New Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa kwenye makosa ya ulawiti, ubakaji na makosa mengine ya jinai.

Katika sheria kifungu cha 17 kinasema ni kosa kutoa au kupokea rushwa ili kumpendelea mtoa rushwa au kufanikisha kupata tenda katika ununuzi wa mali au huduma na adhabu yake faini isiyozidi shilingi 15,000,000/= au kifungo kisichozidi miaka saba (7).

Hii ni ukiukwaji wa sheria uzembe wa TAKUKURU jamii inaathirika na inasadikika Mkoa huo unaongoza kwa ukatili Nchini.
 

Attachments

Upvote 2
Back
Top Bottom