Rushwa haina madhara yoyote ya maana kwa maendeleo ya nchi

Mfano wa nchi gani hapa duniani Rais amewahi kupatikana kwa rushwa?
Uwepo wa rushwa haina maana kwamba kila jambo linawezekana kufanyika kwa rushwa, mifano yako ni hypotheticals za kitoto.
 
Hizo ni stori za vijiweni kusongesha muda tu.
Kiwango cha umaskini Russia ni 13%, Marekani(USA) ni 11%. Russia ni mojawapo ya nchi zenye maendeleo na huduma zote muhimu zilizo bora kwa watu wake wengi.
While Russia is a very resource-rich country, it suffers from intense social inequality. The top 1% of the Russian population control 71% of the nation’s wealth. 13% of Russians are currently living in poverty. Unfortunately, the majority of people living in extreme poverty are children. 60% of those living below the poverty line in Russia are families with children. As a result of social inequality, child poverty in Russia continues to rise. Currently, one in four Russian children lives below the poverty line.

Poverty in Russia​

Russia is one of the world’s largest exporters of oil. As such, those that control the oil industry generate great wealth. However, this leaves many others to suffer in poverty. The nation has a high unemployment rate, but people who have obtained employment often suffer as well. The minimum wage in Russia is among the lowest of all developed countries. The monthly minimum wage in Russia is 12,310 rubles, which is the equivalent of $196.

Additionally, 26% of Russian children live off of close to $150 per month. Child poverty in Russia is most prevalent in rural areas, as many do not have access to employment opportunities in the city. The majority of children living in poverty reside with their families. Most families have three children and are often unable to sustain themselves with their current income.

 
Siku moja utakapopeleka kesi mahakamani kuwa jirani yako amemega hatua 5 za kiwanja chako ndipo utajua nguvu ya rushwa .
Ila hoja yako ni nzuri.
Utoroshwaji wa mabilioni ni janga kubwa zaidi ya rushwa au sawa na rushwa
 
Sasa uugue then ukose dawa hospitali ndio utatia akili!Unadhani rushwa ikishamiri hata hivyo vifaa tiba vitakuwepo?Pembejeo Bora za kilimo zitakuwepo?Watu watatoa rushwa walete vitu fake!
Mna akili kweli?
 
Mmh htr sana...mambo ya "kukoseshana mbingu"...nani atapona !? Unyakuo huu hapa..666 on duty..till ar magedon
 
Sawasawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…