Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Japan, Israeli, Singapore, Switzerland, Korea na nchi nyingine nyingi zilizo na rasilimali kidogo sana zimeendelea kasi kwa sababu ya aina ya watu wake na vingozi smart, sio rasilimali nyingi.Japan alitumia opportunity vizuri baada ya kuangushiwa nuclear bomb!Akanifaika na makubaliano yake na USA!
Sasa kama viongozi wa Japan wangekuwa na tamaa,wangeweza kupewa rushwa na kuingia makubaliano ya kimkataba ambayo hayana tija!
Ukiwa na maarifa na ukajaliwa rasilimali basi taifa litapiga hatua Kwa Kasi!Rushwa ni kikwazo kikubwa Cha maendeleo,na hoja yangu Iko hapo!