Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Russia ni mojawapo ya Taifa lenye viwango vikubwa vya Rushwa ya kila aina ila lina miondombinu bora na maendeleo makubwa kila nyanja.Duuuh,kweli akili zetu zimechoka!Sioni shida kama mkibariki na wizi,kwamba ukimuona tajiri,mvamie muibie then nunua boda boda mpe nduguyo,utakuwa umetengeneza ajira!!!
Nikuleleze tu,ikifika huko kwamba kila mtu apige basi hata miradi ya maendeleo haitamalizika!Fikiri mradi labda wa maji wa Bilioni 1,kuanzia Waziri mpaka mtendaji mdogo idara ya maji alijinyofolea kutabaki Nini?Acheni kushabikia rushwa na ufisadi!
Libya pia chini ya Gadaffi ilikuwa ni mojawapo ya mataifa yenye ufisadi sana ila lilikuwa na maendeleo pia.
Umaskini wetu umechangiwa kwa kiasi kikubwa na kuwa na viongozi wasio na maono makubwa na wafahidhina sana.