and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? Mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?
1. Immigration - ili upate passport lazima ujipange sawasawa, zile siku zilizoainishwa ni geresha?
2. Kuwekewa umeme - unaambiwa hamna nguzo, hadi uwape chochote, nguzo zinapatikana siku hiyo hiyo.
3. Tunduma na Kasumulu Border posts - kila ukigusa Ni mwendo wa rushwa kuanzia (polis, TRA),
4. Hospitali - Mwananyamala pamoja na makamera kukaa kila corridor hiyo nyomi Lazima ulazimishwe kutoa Chochote. Dawa akanunue kwenye pharmacy za staff nje ya geti
5. POLISI @trafiki - highway bagamoyo @msata
6. Mortuary Muhimbili USER=111227]kabuku[/USER] SAME mwanga.