Rushwa imehalalishwa? Mbona sehemu nyingi ukienda watu wanadai rushwa bila kificho?

Rushwa imehalalishwa? Mbona sehemu nyingi ukienda watu wanadai rushwa bila kificho?

Kubali yaishe hivi hii pumvi nzito ya kuzuia katiba Bora na tume huru ya uchaguzi unadhani Ni kwa ajili ya nini? Mkuu Kama hata kwa mkeo unaweza kupiga rushwa wewe tembeza ndio sera ya CCM vinginevyo utakufa njaa. Huko maofisini kila mtu boss, typist Hadi watafuta mafaili Ni chochote ndipo unasomeka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mama wa TRA ananambia, kodi yako imekua sh. kadhaa, nipe 40k kama unayo
nimebaki nimeduwaa

hakuna tena kufichana wala kuzungushana
 
Mbaya zaidi tunakwenda kukopa hela zikiingia tunaanza kuzigawana, tunakwenda kuomba misaada hela zikija tunazigawana kama kawa.
 
Miaka yote rushwa ipo haijawahi kuisha whether JK au JPM rushwa ipogo. kasome ripoti za TAKUKURU kila mwaka ni mabilion wanaripoti yalitolewa kama rushwa haijalishi Rais alikua nani? Msiwe mnaropoka tu.
Wewe ndiye mropokaji sasa. Kwani ni nani aliyesema rushwa iliisha? Rushwa ilikuwepo, lakini haikuwa nje nje kama ilivyo sasa hivi. Sasa hivi mtu unaombwa rushwa mchana kweupe, tena mbele ya kadamnasi, ndiyo sababu mleta mada akauliza kama imehalalishwa!
 
Umerogwa SI Bure. Muda na wakati wote unafikiria na kitengeneza ubaya Kwa magufuli. Mpaka umekuwa zuzu
Mimi nikuzuie kuwaza utakalo?Kwa nini?Wewe waza,penda,chukia au vyovyote utakavyo kama id yako.Niache nami niwe na mawazo na mitizamo yangu.
 
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? Mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?

1. Immigration - ili upate passport lazima ujipange sawasawa, zile siku zilizoainishwa ni geresha?
2. Kuwekewa umeme - unaambiwa hamna nguzo, hadi uwape chochote, nguzo zinapatikana siku hiyo hiyo.

3. Tunduma na Kasumulu Border posts - kila ukigusa Ni mwendo wa rushwa kuanzia (polis, TRA),

4. Hospitali - Mwananyamala pamoja na makamera kukaa kila corridor hiyo nyomi Lazima ulazimishwe kutoa Chochote. Dawa akanunue kwenye pharmacy za staff nje ya geti

5. POLISI @trafiki - highway bagamoyo @msata kabuku SAME mwanga.
Bora! Kuliko mambo ya kutekana na kupigana risasi mchana kweupe rushwa haiuwi.
 
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? Mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?

1. Immigration - ili upate passport lazima ujipange sawasawa, zile siku zilizoainishwa ni geresha?
2. Kuwekewa umeme - unaambiwa hamna nguzo, hadi uwape chochote, nguzo zinapatikana siku hiyo hiyo.

3. Tunduma na Kasumulu Border posts - kila ukigusa Ni mwendo wa rushwa kuanzia (polis, TRA),

4. Hospitali - Mwananyamala pamoja na makamera kukaa kila corridor hiyo nyomi Lazima ulazimishwe kutoa Chochote. Dawa akanunue kwenye pharmacy za staff nje ya geti

5. POLISI @trafiki - highway bagamoyo @msata kabuku SAME mwanga.

Itakuwa ni R ya 5 imeongezwa kutoka kwenye zile 4R .... KULA kwa Urefu wa kamba yako .....!!
 
Rushwa ni tatizo TRA, Ardhi, Uhamiaji na Trafiki
 
Back
Top Bottom