Rushwa imehalalishwa? Mbona sehemu nyingi ukienda watu wanadai rushwa bila kificho?

Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?
1. Immigration - ili upate passport lazima ujipange sawasawa, zile siku zilizoainishwa ni geresha?
2. Kuwekewa umeme - unaambiwa hamna nguzo, hadi uwape chochote, nguzo zinapatikana siku hiyo hiyo.

3. Tunduma na Kasumulu Border posts - kila ukigusa Ni mwendo wa rushwa kuanzia (polis, TRA),

4. Hospitali - Mwananyamala pamoja na makamera kukaa kila corridor hiyo nyomi Lazima ulazimishwe kutoa Chochote. Dawa akanunue kwenye pharmacy za staff nje ya geti

5. POLISI @trafiki - highway bagamoyo @msata kabuku SAME mwanga.
Welcome to reality, nawahurumia takukuru, wanafanya kazi na jamii ambayo ina value rushwa. Just imagine how hard is that
 
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?
1. Immigration - ili upate passport lazima ujipange sawasawa, zile siku zilizoainishwa ni geresha?
2. Kuwekewa umeme - unaambiwa hamna nguzo, hadi uwape chochote, nguzo zinapatikana siku hiyo hiyo.

3. Tunduma na Kasumulu Border posts - kila ukigusa Ni mwendo wa rushwa kuanzia (polis, TRA),

4. Hospitali - Mwananyamala pamoja na makamera kukaa kila corridor hiyo nyomi Lazima ulazimishwe kutoa Chochote. Dawa akanunue kwenye pharmacy za staff nje ya geti

5. POLISI @trafiki - highway bagamoyo @msata kabuku SAME mwanga.
Hata Dawasa utaambiwa hakuna vifaa lakini ukitoa rushwa utaunganishwa siku ya pili, wakati ushalipia control namba 400000-
 
Na wewe tengeneza ka system kako uwe unachukua mlungula hata kama ni kumuelekeza mtu njia omba mlungula
 
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? Mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?

1. Immigration - ili upate passport lazima ujipange sawasawa, zile siku zilizoainishwa ni geresha?
2. Kuwekewa umeme - unaambiwa hamna nguzo, hadi uwape chochote, nguzo zinapatikana siku hiyo hiyo.

3. Tunduma na Kasumulu Border posts - kila ukigusa Ni mwendo wa rushwa kuanzia (polis, TRA),

4. Hospitali - Mwananyamala pamoja na makamera kukaa kila corridor hiyo nyomi Lazima ulazimishwe kutoa Chochote. Dawa akanunue kwenye pharmacy za staff nje ya geti

5. POLISI @trafiki - highway bagamoyo @msata kabuku SAME mwanga.
Mambo yameharibika sana - jk
 
Hukujua kuwa rushwa ilihalalishwa?mama yetu alisema Kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake kwenye eneo lake.
 
Umerogwa SI Bure. Muda na wakati wote unafikiria na kitengeneza ubaya Kwa magufuli. Mpaka umekuwa zuzu
Sio ubaya ila acheni unafiki kwamba awamu ya JPM kulikua hakuna rushwa? Kwamba trafiki walikua hawaombi rushwa enzi za JPM?
 
Jibu swali, nani amesema rushwa ilipotea? Hata kuelewa swali nako ni shida!
Kama huwezi kujibu swali langu, basi jibu la mleta mada. Ameuliza kama rushwa imehalalishwa.
Miaka yote rushwa ipo haijawahi kuisha whether JK au JPM rushwa ipogo. kasome ripoti za TAKUKURU kila mwaka ni mabilion wanaripoti yalitolewa kama rushwa haijalishi Rais alikua nani? Msiwe mnaropoka tu.
 
Back
Top Bottom