Rushwa imehalalishwa? Mbona sehemu nyingi ukienda watu wanadai rushwa bila kificho?

Toa tu mkuu, hata ukuwachoma wapokea rushwa wakikujua utaumuzwa wewe.

Ni watu 7 tu nchi hii wakiwa seriazi kupambana na rushwa vitendo vitapungua.
 
Nimetoka ofisi za Ardhi Kilosa last week ni hayahaya
Kuna kila dalili huyu mama kawaruhusu watuumize
 
Mliambiwa Magufuli mtetezi wa wanyonge mkakataa haya na hiyo ni trailer mkanda ni kwanzia 2025 mpka tuseme
 
Ruhusa gani zaidi ya hizi?
  • Mkwere...kula uliwe
  • Jiwe...za kubrashia viatu
  • Ushungi...kwa urefu wa kamba
  • CCM...Baba lao, Chama Cha Mafisadi/Chukua Chako Mapema!
 
Rushwa ndiyo mtindo, vumilia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…