Wanaleta kigezo cha ushoga mawili hawataki wengine waandae au ndio sera zao mpya za kueneza ushoga maana misaada wametishia watu wamesema potelea mbali na pesa zenu sisi tuna dini zetu na tamaduni zetu wameona watushike kwenye sports sasa. Na hili soon tutawaambia potelea mbali.Mizungu inadhani kombe la Dunia inabidi ifanyike nchini mwao tu. Hili ni kombe la Dunia nchi yeyote yenye nyenzo za kuhost should be able to bid and host one.
wameambia waende kuangalia mpira wala hawajakatazwa wao wanataka serikali itamke rasmi ushoga fresh tu na wanataka kurusha mabendera yao ya rangi viwanjani ili iweje? hawataki kuheshimu kuwa kuna watu hawakubali hayo mambo. Wa wazungu wanasheria zao na ukienda kwao unafuata sheria zao kama huko France marufuku wanawake kujifunika ok nchi yao na haki yao kutunga sheria watu wameandamana mpaka wamechoka sheria za wengi zimepita. kawaida unaenda kwa mtu unaheshimu sheria zake hutaki unaacha kwenda mbona kazi ndogo tu.Unakataa ushoga una ruhusu pombe? hio ni dini gani?
Kwani hapa bia tunakunywa wapi? si ziko sehemu tunakunywa zimejengwa kwa hilo maana mimi sijawahi hata kuona mtu anatembea sokoni au barabarani kashika chupa ya bia, ziko sehemu kaa kunywa hapo Dubai kuna starehe zote ila sio kiholela tu sehemu za kunywa zimejaa kanywe mpaka ubebwe.Ushoga sio concerned kwa mtu ambaye sio shoga, tatizo ni kukataza mpaka bia yaan unywe mafichoni
Gharama zote hizo ni kama wamejenga vibanda vya kukuBasi wapo vizuri haloo hawa jamaa ni hatari bwana
Wafurahie magoli na kushangilia nchi zaoWatu wameona ushoga tu ila ukweli ni kwamba waarbu wamezuia vitu vingi...Ulevi,Uzinzi,Ulaji wa kitimoto nk
Binafsi naona kombe la dunia ni sehemu ya kwenda kusheherekea unazuiaje pombe kwa misingi ya dini yako?
Nenda post # 33 au umeamua tu kujizima data?Nenda reply #9 na #28 utajua nani alieanza kumquote mwenzie.
Punguza ujuaji mzebaba.
Hahahahaha mkuu, umeuliza nani alianza kumquote mwenzie, nimekupa ushahidi utiririke nao.Nenda post # 33 au umeamua tu kujizima data?
Nilikuuliza,Kwako wewe unasema Qatar hamna amsha amsha coz hawataki ushoga? Badala ya kujibu ulichoulizwa ukaja na ngonjera ndefu.
Wewe ni mpuuzi na una akili za kitoto,ngoja nikuache.Hahahahaha mkuu, umeuliza nani alianza kumquote mwenzie, nimekupa ushahidi utiririke nao.
Sasa kwa akili fupi tu kati ya post #9, #28 na hiyo yako #33 ipi ni ya kwanza??
Muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Wewe ndo umeshoboka na post #9, chutama kama wewe ni muungwana.
wamejenga kijiji cha kombe la dunia kwa kutumia makontena ..vyumba vipo 6000 kila chumba kulala kwa siku moja ni dola 200 na unaambiwa vimeshabukiwa vyote yani watu wameshavilipia awa jamaa wanaenda kurudsha pesa yao yoteNa wanasema kombe la Dunia likiisha wanaya dismantled viwanja na viti vyote kugawa nchi masikini
Hapo naona kuna mataifa wameisha weka order
Qatar,saud arabai na Libya ya kipindi cha gadafi ndio nchi zilizokuwa zimeifadhi pesa kwa ajili ya generation zijazo yani watu mambo ya mabajeti sijui uchafu gani wameshamaliza wanaweka pesa kwa ajili ya kizazi kijacho kuhusu pesa zao kurudi awa jamaa sidhani kama wanaitaji sana pesa zao kurudi zaidi ya kuweka historia kuwa wamevunja record ya dunia kwa bajeti kubwa ya maandalizi..Wajomba wana jeuri mnoo.
Sasa wao wananufaika nini mkuu, maana kusema pesa yao itarudi, sidhani kabisa maana naskia hadi pesa ya maandalizi toka fifa wameikataa.
Nikajua labda ni ushawaishi wa nchi za magharibi ili kupenyeza ajenda zao ila kwa hapo naanza kuamini ni ujeuri yao tu.
Nawakubari Qatar, piga marufuku ushoga na rainbow, mkitaka ushoga nendeni mkaufanyie Marekani sio Qatar,wazungu wenyewe ndio wamekataa kombe ilo kuchezwa mwezi wa 6 Qatar kwasababu ya joto ,Qatar walisema kama ishu ni Joto kutakuwa na AC viwanja vyote mitaani adi barabarani[emoji23][emoji23] jamaa wana jeuri ya pesa ndio nchi iliyovunja record kwa maandalizi ya kombe la dunia dola billioni 200 sawa na tirioni 456 na zaidi za kitanzania yani bajeti yetu ya miaka karibu 9 watu wanatumia kuandalia kombe tu, na nasikia wameweka record nyingine ya kuweza kuweka screen yani smart TV yenye ubora wa 8K siyo 4k kama za uku kwetu yenye urefu wa mita 62 kwa ajili ya watu watakaokuwa nje ya uwanja kuweza kuangalia..
πππtuwe na makombe mawili ya dunia moja ya mashoga na nyingine ya wote
Vizuri sana, japo ni kiutu uzima zaidi ila nimekuelewa mkuu.Wewe ni mpuuzi na una akili za kitoto,ngoja nikuache.