Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Wewe mtoto pust nini???

Kwa hiyo kwako wewe nchi kutoa rushwa ili ifanye kombe la dunia ni kosa wakati huo huo kukataa ufiraji ni kosa la kunyang'anywa kibali?
 
wamejenga kijiji cha kombe la dunia kwa kutumia makontena ..vyumba vipo 6000 kila chumba kulala kwa siku moja ni dola 200 na unaambiwa vimeshabukiwa vyote yani watu wameshavilipia awa jamaa wanaenda kurudsha pesa yao yote
Halafu kwa wale wenye hela za ziada
Jamaa wameweka Meli kubwa za kitalii ila watalala matajiri
Imagine Meli zimekodishwa kwa ajili ya kulala wageni

Qatar ni nchi ndogo sana hata mwezi wa nane nilikuwa huko
Nimeanza kwenda huko tangu 1987
Wakati bado sehemu kubwa ni jangwa na jirani wanaombana chumvi ila sio sasa
 

Hili litazamwe kwa ukaribu zaidiii
 
Hata ww unaonesha utalifurahia hili suala wakiliruhusu mzee baba una hamu nalo nn
 
Kombe la dunia nchi yeyote ile linaweza kufanyika sio nchi za wazungu tu, mbona South Africa lilifanyika? Ingawa kulikuwa na malamiko madogo madogo, kwa nini mashariki ya kati lisifanyike maana kila nchi ina haki ya kupewa ili mradi atimize vigezo tu. Sasa yanakuja malalamiko kwa nini kapewa Qatar kwani hana haki? Tatizo kuna ubaguzi sana kwenye uchaguzi na hata Qatar alishinda kwa vigezo tu la sivyo asingepewa, na kuhusu malalamiko ya jinsia kila nchi ina sheria zake na lazima zifuatwe kama sheria zimekushinda acha usiende, nenda China halafu ulete mchezo na sheria zao hapo ndio utakiona cha mtema kuni.
 
kwahiyo mkuu na wewe hupendezwi na kitendo cha Qatar kupiga marufuku mashoga?
 
Hata S.Afrika alito rushwa kama ya dola milioni 10.,mbona hilo liko wazi.
 
Hakuna cha udini wala nini wanao lalamika ni mabwana kwa mabwana na mabibi kwa mabibi, fateni sheria za nchi mnazokwenda
Ndo tatizo hilo, yaani mnahisi kila ataesema hajapendezwa na kombe kwenda huko Qatar basi anasaport ushoga aisee.
Wamekataza mengi sio hilo tu mkuu, uhuru unaminywa kule si ajabu watu kibao wakafungwa coz sio maisha waliozoea.

Wala sio mambo ya mapenzi ya jinsia moja, kuna sie wazee wa Russia bila pombe kali mambo hayaendi, wengine bila ganja hamna vibe, wengine madem(pisi kali).

Sasa kule imeruhusiwa bia aina moko tu mzee.
Binafsi sitamani kwenda Qatar hata ikitokea bahati nasibu.
 
Mzee huko Qatar unafata kombe la dunia au unafata bia?
 
kwahiyo mkuu na wewe hupendezwi na kitendo cha Qatar kupiga marufuku mashoga?
Hujanielewa nimetoa hoja kila nchi ina sheria zake, ndio maana Qatar hataki ushoga kama ni ushoka kafanyie huko huko Qatar ni marufuku huo upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…