Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

”Jumatatu iliyopita Rais wa zamani wa FIFA Sepp Blatter alitamka kuwa ”kufanya mashindano haya nchini Qatar ni kosa”

Jumanne, Balozi wa Kombe la Dunia nchini Qatar Khalid Salman alisema kuwa ”mahusiano ya jinsia moja ni uharibifu katika akili”

Swali kubwa ni je ” iliwezekanaje kwa nchi yenye watu milioni 3 , joto kali sana, na ambapo mahusiano ya jinsia moja ni kinyume na sheria kuchaguliwa kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia?”



Wewe mtoto pust nini???

Kwa hiyo kwako wewe nchi kutoa rushwa ili ifanye kombe la dunia ni kosa wakati huo huo kukataa ufiraji ni kosa la kunyang'anywa kibali?
 
wamejenga kijiji cha kombe la dunia kwa kutumia makontena ..vyumba vipo 6000 kila chumba kulala kwa siku moja ni dola 200 na unaambiwa vimeshabukiwa vyote yani watu wameshavilipia awa jamaa wanaenda kurudsha pesa yao yote
Halafu kwa wale wenye hela za ziada
Jamaa wameweka Meli kubwa za kitalii ila watalala matajiri
Imagine Meli zimekodishwa kwa ajili ya kulala wageni

Qatar ni nchi ndogo sana hata mwezi wa nane nilikuwa huko
Nimeanza kwenda huko tangu 1987
Wakati bado sehemu kubwa ni jangwa na jirani wanaombana chumvi ila sio sasa
 
Hivi rushwa Huwa inaonekana pale tu marekani anaposhindwa, wamesahau kuhusu ujerumani alivyoshinda uwenyeji wa kombe la dunia dhidi ya Africa kusini

Marekani keshaona jinsi mpira wa miguu unavyopendwa Kwa hiyo anataka kuucontrol na kuingiza upuuzi wake wa mambo ya ushoga

Hili litazamwe kwa ukaribu zaidiii
 
Fata yako tu, na huenda hata huko limepelekwa kimkakati tu ili kueneza huo ushoga. Sema ndo ivo jamaa wamekaza hawataki hizo mambo.

Watawaandama na kuleta kashkash tu ili kwa namna moja au nyingine waeneze huo ushoga huko Qatar.

Pombe walikaza sasa wameirhusu kampuni moja kuiuza hadharani, hivyo ndivyo marekani wanataka.

Hata Qatar wakiruhusu hata kwa kiwango kidogo kwao ni furaha kubwa sana.
Hata ww unaonesha utalifurahia hili suala wakiliruhusu mzee baba una hamu nalo nn
 
Wakati Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yakiwa karibu kabisa kuanza, kupitia video fupi Mhariri wa uchambuzi kutoka shirika la habari la BBC Ros Atkin ameiongelea miaka ya tuhuma za rushwa ndani ya FIFA inayosadikiwa kupelekea Qatar kutunukiwa uwenyeji wa Kombe la Dunia 2022.

”Jumatatu iliyopita Rais wa zamani wa FIFA Sepp Blatter alitamka kuwa ”kufanya mashindano haya nchini Qatar ni kosa”

Jumanne, Balozi wa Kombe la Dunia nchini Qatar Khalid Salman alisema kuwa ”mahusiano ya jinsia moja ni uharibifu katika akili”

Swali kubwa ni je ”iliwezekanaje kwa nchi yenye watu milioni 3 , joto kali sana, na ambapo mahusiano ya jinsia moja ni kinyume na sheria kuchaguliwa kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia?”

Kabla ya kupigwa kura, wanakamati wawili wa kamati kuu ya FIFA walitolewa baada ya uchunguzi uliofanywa na Sunday Times kubaini kuwa watu hao walikuwa wametoa ofa ya kuuza kura zao. Wanakamati wengine wote waliichagua Qatar na kuiacha Marekani ambayo ilionekana kupendwa zaidi.

Mwaka 2011 gazeti la Sunday Times liliripoti kuwa wanakamati wengine wawili walikuwa wamelipwa dola milioni moja na nusu kila mmoja ili kuipigia kura Qatar.

Siku chache baadae, barua pepe ilivuja iliyoonyesha Katibu wa FIFA wa kipindi kile Jerome Valcke akiwaongelea maafisa wa Qatar kwa kusema ”alidhani inawezekana kununua FIFA kama walivyonunua Kombe la Dunia.”

Kufikia mwaka 2012 uchunguzi mzito kuhusiana na mienendo ndani ya FIFA ulishaanza. Baadae ilijulikana kuwa FBI imekuwa ikiichunguza FIFA kwa miaka mingi na iligundua rushwa, utakatishaji fedha, malipo haramu yakiwa kama sehemu ya kufanya biashara ndani ya FIFA.

Hata hivyo mambo hayo hayakuhusiana moja kwa moja na jinsi Qatar iliyopata uwenyeji wa Kombe la Dunia.

Tunachofahamu ni kuwa hadi sasa wanakamati 11 kati ya 22 wa Kamati Kuu ya FiFA waliofikia uamuzi ule wamesimamishwa, kulipishwa faini, kufungiwa na wengine kushtakiwa kwa sababu mbalimbali.

Wiki hii Blatter amesema, "Ni hakika hii ilihusu pia pesa, kwa hili namaanisha nchi na siyo watu."

Miaka 12 baadae Qatar bado inakanusha kuhusika na lolote ambalo ni kinyume na sheria au maadili. Swali linabakia, kwanini mashindano haya yanafanyikia Qatar?
Kombe la dunia nchi yeyote ile linaweza kufanyika sio nchi za wazungu tu, mbona South Africa lilifanyika? Ingawa kulikuwa na malamiko madogo madogo, kwa nini mashariki ya kati lisifanyike maana kila nchi ina haki ya kupewa ili mradi atimize vigezo tu. Sasa yanakuja malalamiko kwa nini kapewa Qatar kwani hana haki? Tatizo kuna ubaguzi sana kwenye uchaguzi na hata Qatar alishinda kwa vigezo tu la sivyo asingepewa, na kuhusu malalamiko ya jinsia kila nchi ina sheria zake na lazima zifuatwe kama sheria zimekushinda acha usiende, nenda China halafu ulete mchezo na sheria zao hapo ndio utakiona cha mtema kuni.
 
kwahiyo mkuu na wewe hupendezwi na kitendo cha Qatar kupiga marufuku mashoga?
 
Hivi rushwa Huwa inaonekana pale tu marekani anaposhindwa, wamesahau kuhusu ujerumani alivyoshinda uwenyeji wa kombe la dunia dhidi ya Africa kusini

Marekani keshaona jinsi mpira wa miguu unavyopendwa Kwa hiyo anataka kuucontrol na kuingiza upuuzi wake wa mambo ya ushoga
Hata S.Afrika alito rushwa kama ya dola milioni 10.,mbona hilo liko wazi.
 
Hakuna cha udini wala nini wanao lalamika ni mabwana kwa mabwana na mabibi kwa mabibi, fateni sheria za nchi mnazokwenda
Ndo tatizo hilo, yaani mnahisi kila ataesema hajapendezwa na kombe kwenda huko Qatar basi anasaport ushoga aisee.
Wamekataza mengi sio hilo tu mkuu, uhuru unaminywa kule si ajabu watu kibao wakafungwa coz sio maisha waliozoea.

Wala sio mambo ya mapenzi ya jinsia moja, kuna sie wazee wa Russia bila pombe kali mambo hayaendi, wengine bila ganja hamna vibe, wengine madem(pisi kali).

Sasa kule imeruhusiwa bia aina moko tu mzee.
Binafsi sitamani kwenda Qatar hata ikitokea bahati nasibu.
 
Mnakuwaga na mawazo ya kisen*e muda wote mnawaza Ushoga kwani Huwa unatatuliwa marinda nn Kuna mamb mengi ok Kwa mfan mm ni mnywaji wa pombe vip sasa unipangie Kombe la dunia kufanyika Qatar ni Upuuzi mtupu

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mzee huko Qatar unafata kombe la dunia au unafata bia?
 
kwahiyo mkuu na wewe hupendezwi na kitendo cha Qatar kupiga marufuku mashoga?
Hujanielewa nimetoa hoja kila nchi ina sheria zake, ndio maana Qatar hataki ushoga kama ni ushoka kafanyie huko huko Qatar ni marufuku huo upuuzi.
 
Back
Top Bottom