Nimeweka mkeka hapa wa australia cup ukitiki ntaangalia kama ntakutumia.. ila uache kueleza shida zako adharani tena kwa watu wageni。nisaidie basi hiyo hata nusu yake niwapelekee maana hapa niko nahangaika kupata hko kibarua mkuu tangu asubuhi sijala alaf ana hata huruma kweli
Wapige saundi utatoboa.Na leo sina hata 1000 apa ndugu zanguni
Nashukuru kwa maneno yako mkuu hla tambua naongea kwa uchungu kwa sababu hyo sio haki halafu kama wewe una pesa tambua co wote wengne ata a au basi tu mungu anawaonaMkuu ukiona mwanaume umeshindwa vumilia njaa..hii dunia hutapiga hatua popote yaani kuna mambo yafanye kiume yaende kiume...kulalamika sana hakutakusaidia...hata kama huna hela ungeongea nae vizur tuu nazan angekuelewa...sasa huku forum ndio mahakaman....yaan kwa malalamiko yako tuu nakuombea hata hiyo kazi unayo omba usiipate....
naumia sana mkuu ndugu zangu na marafik weng washatoa sana pesa nyingi bila mafanikio maana ni kama kubet tu bnyway ntashukuru kama utafanya hvoNimeweka mkeka hapa wa australia cup ukitiki ntaangalia kama ntakutumia.. ila uache kueleza shida zako adharani tena kwa watu wageni。
Nadhani ni utaratibu wa ofisi na ofisi, mfano mimi ninako ishi sijawahi kuombwa fedha yoyote ili nigongewe muhuri wa serikali ya mtaa, nakumbuka miaka ya 2015's wakati naomba mkopo wa HELSB kwa ajili ya chuo niligongewa muhuri bila malipo yoyote, mwaka jana pia nilienda kuchukua barua ya utambulisho nilipewa bila malipo, kuongezea zaidi jana nimepewa pia barua ya utambulisho bila malipo, kwa hiyo nadhani utaratibu wa ofisi na ofisi.
Acha uchoyo toa helaWakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
Upo wap kijanaNa leo sina hata 1000 apa ndugu zanguni
Wewe ulivoomba kazi hapo shule ulitoa rushwa?Acha uchoyo toa hela
Dunia haijawahi kuwa fair...inalipishwa maiti...sembuse cjui nini...mzee force uwezavyo upate hiyo pesa ukapige huo muhuri...Nashukuru kwa maneno yako mkuu hla tambua naongea kwa uchungu kwa sababu hyo sio haki halafu kama wewe una pesa tambua co wote wengne ata a au basi tu mungu anawaona
Chanzo cha mapato ya serikali!!!Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
Shule gani?Wewe ulivoomba kazi hapo shule ulitoa rushwa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu aliwalazimisha kugombea nafasi ambazo wanajua kabisa hazina malipo?Hao jamaa hawalipwi na serikali. Wakiacha ofisi kwenda kufanya vibarua watoto wapate kula mnalalamika hawashindi ofisini.