Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

Mkuu ukiona mwanaume umeshindwa vumilia njaa..hii dunia hutapiga hatua popote yaani kuna mambo yafanye kiume yaende kiume...kulalamika sana hakutakusaidia...hata kama huna hela ungeongea nae vizur tuu nazan angekuelewa. Sasa huku forum ndio mahakaman, yaan kwa malalamiko yako tuu nakuombea hata hiyo kazi unayo omba usiipate.
 
nisaidie basi hiyo hata nusu yake niwapelekee maana hapa niko nahangaika kupata hko kibarua mkuu tangu asubuhi sijala alaf ana hata huruma kweli
Nimeweka mkeka hapa wa australia cup ukitiki ntaangalia kama ntakutumia.. ila uache kueleza shida zako adharani tena kwa watu wageni。
 
HAPO UNATUHUSIWA KUWAOMBA NA SHIDA NAOMBA MSAAADA SIKO VIZURI WANAKUSAIDIA WENGI TU..YAAN HIZO BK 2 N KUSAIDIA WASIOO NA UWEZOOOO
nimemuomba kagoma kabisa mkuu waweza kunisaidia kama hutojal please vijana twateketea uku
 
Nadhani ni utaratibu wa ofisi na ofisi, mfano mimi ninako ishi sijawahi kuombwa fedha yoyote ili nigongewe muhuri wa serikali ya mtaa, nakumbuka miaka ya 2015's wakati naomba mkopo wa HELSB kwa ajili ya chuo niligongewa muhuri bila malipo yoyote, mwaka jana pia nilienda kuchukua barua ya utambulisho nilipewa bila malipo, kuongezea zaidi jana nimepewa pia barua ya utambulisho bila malipo, kwa hiyo nadhani utaratibu wa ofisi na ofisi.
 
Mkuu ukiona mwanaume umeshindwa vumilia njaa..hii dunia hutapiga hatua popote yaani kuna mambo yafanye kiume yaende kiume...kulalamika sana hakutakusaidia...hata kama huna hela ungeongea nae vizur tuu nazan angekuelewa...sasa huku forum ndio mahakaman....yaan kwa malalamiko yako tuu nakuombea hata hiyo kazi unayo omba usiipate....
Nashukuru kwa maneno yako mkuu hla tambua naongea kwa uchungu kwa sababu hyo sio haki halafu kama wewe una pesa tambua co wote wengne ata a au basi tu mungu anawaona
 
Nimeweka mkeka hapa wa australia cup ukitiki ntaangalia kama ntakutumia.. ila uache kueleza shida zako adharani tena kwa watu wageni。
naumia sana mkuu ndugu zangu na marafik weng washatoa sana pesa nyingi bila mafanikio maana ni kama kubet tu bnyway ntashukuru kama utafanya hvo
 
Dah ni hatari
Nadhani ni utaratibu wa ofisi na ofisi, mfano mimi ninako ishi sijawahi kuombwa fedha yoyote ili nigongewe muhuri wa serikali ya mtaa, nakumbuka miaka ya 2015's wakati naomba mkopo wa HELSB kwa ajili ya chuo niligongewa muhuri bila malipo yoyote, mwaka jana pia nilienda kuchukua barua ya utambulisho nilipewa bila malipo, kuongezea zaidi jana nimepewa pia barua ya utambulisho bila malipo, kwa hiyo nadhani utaratibu wa ofisi na ofisi.
 
Mihuri inayo gangway na serikali za mitaa ni kwa ajili gani?why ukagongewe mhuri kule?kwani ID yako ipo wapi?mahitaji yote unayo yahitaji unatakiwa uwe na ID basi,elewa ID ndio maisha yako
 
Sheria hairuhusu.

Ila toa tu kama umetoa tip.

Na Mungu atakubariki.

Kama inakuuma Sana ripoti takukuru watakupa hiyo 10k ya moto.
 
Hujuwi kunyanyua mkono na kushusha kugonga muhuri Nako ni kazi?lipa pesa update huduma.
 
Nashukuru kwa maneno yako mkuu hla tambua naongea kwa uchungu kwa sababu hyo sio haki halafu kama wewe una pesa tambua co wote wengne ata a au basi tu mungu anawaona
Dunia haijawahi kuwa fair...inalipishwa maiti...sembuse cjui nini...mzee force uwezavyo upate hiyo pesa ukapige huo muhuri...
 
Hao jamaa hawalipwi na serikali. Wakiacha ofisi kwenda kufanya vibarua watoto wapate kula mnalalamika hawashindi ofisini.
 
Hao jamaa hawalipwi na serikali. Wakiacha ofisi kwenda kufanya vibarua watoto wapate kula mnalalamika hawashindi ofisini.
Kuna mtu aliwalazimisha kugombea nafasi ambazo wanajua kabisa hazina malipo?

Tena mpaka wengine wanafikia kulogana kwasababu tu ya nafasi ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
 
Back
Top Bottom