Rushwa ya Dkt. Kigwangalla isifumbiwe macho na chama

Rushwa ya Dkt. Kigwangalla isifumbiwe macho na chama

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Kwa msimamo wa CCM kujinasua na vitendo vya Rushwa ktk uchahuzi suala la Kigwangala kuwezesha vyombo vya usafiri vyenye thamani karibia billioni moja ambzo hata hazijafanyiwa uchungizi zimepatikanaje kwa wajumbe mkutano mkuu wa jimbo ambao kwa mujibu wa utaratibu ndio watakaopiga kira za maoni. CCM haitakuwa serious.

Suala hili lilitakiwa likemewe na chama palepale na si kulipaka mafuta kwamba alikuwa ktk kutekeleza ilani na bado inatoa mwanya wa kuwaruhusu kupitapita ati mpaka kuchukua fomu wako kazini bado.

Bunge limefungwa hawatuwakilishi popote, kwa sasa mawaziri na wateule wanafanya kazi kama waajiliwa wa serikali na siyo kama wabunge. Katibu Mkuu aliweke bayana.
 
Katika kuisaidia CCM kuwabaini kwa haraka watoa rushwa ndani ya ccm ni vizuri tutupie majina ya watoa rushwa na vitu wanavyogawa. Katika wilaya ya Nzega tayari kamera yetu imemnasa Kigwangala na Bashe wakigawa pikipiki, baiskeli na Thermos huku TAKUKURU wakimnasa na kumhoji katibu wa Kigwangala.
IMG-20200613-WA0030.jpg
IMG-20200615-WA0048.jpg
IMG-20200614-WA0033.jpg
IMG-20200613-WA0033.jpg
 
Attachments

  • IMG-20200613-WA0030.jpg
    IMG-20200613-WA0030.jpg
    112.4 KB · Views: 1
kwahiyo mtu kutoa vitendea kazi kwa watendaji wa chama chake ni rushwa?
 
Huwezi itenganisha ccm na rushwa,ccm inamiliki rushwa na inamiliki taasisi ya kuzuia rushwa vilevile,hapo unategemea nn.Wangekuwa ni wapinzani hawo hata vyama vyao vingeshafutwa
 
TANAPA,NCAA & TAWA wanahusika kumwezesha Kigwangallah.Ni Waziri anayesimamia hizo taasisi, na kwakutumia wadhifa wake kachota mifedha huko kaja kuzigawa jimboni.
 
kwahiyo mtu kutoa vitendea kazi kwa watendaji wa chama chake ni rushwa?
Ndiyo hiyo ni rushwa,kwani yeye ni katibu wa chama huko? Vitendea kazi vya kufanya kazi gani?Unatofautishaje na rushwa?The separation line is invisible.
 
Ndiyo hiyo ni rushwa,kwani yeye ni katibu wa chama huko? Vitendea kazi vya kufanya kazi gani?Unatofautishaje na rushwa?The separation line is invisible.
kwahiyo wewe ukutaka watendaji wa chama chake wapewe vitendea kazi.vunjeni kamati za rohombaya kwenye nafsi zenu.
 
kwahiyo mtu kutoa vitendea kazi kwa watendaji wa chama chake ni rushwa?

Hiyo ni rushwa ya wazi, anatoa vitendea kazi yeye ni serikali? Hiyo Takukuru imebaki kutumwa kufanya siasa chafu, huku rushwa za wazi inazifumbia macho. Halafu anakuja mtu anasema rais anapambana na rushwa! Shubamiit.
 
Naamini chama kina utaratibu wa kupokea michango, kwanini hakutoa huo mchango chamani? Vitendea kazi vingetolewa na chama kwa watendaji wote , sio yeye, haswa wakati wa uchaguzi na akitoa jimbo moja tu.
Tuache unafiki ile ni Rushwa ya wazi.
 
kwahiyo mtu kutoa vitendea kazi kwa watendaji wa chama chake ni rushwa?
Mkuu najua tupo pamoja katika suala la kumuunga mkono rais wetu mchapakazi, lkn kuna baadhi ya viongozi wa ccm bado ni corrupt, mkuu hii ni rushwa ya wazi kabisa bila kupepesa macho, kwnn hawakutoa hvyo vitendea kazi mapema kabla ya uchaguzi kuanza? Au kwnn hawakuwa na utaratibu huo tangu mwanzo? Mfano mzuri ni rais wetu tng ameingia madarakani amekuwa akitoa pesa kusaidia watu pale anapokutana nao na kusikiliza shida zao, hivyo basi akifanya hivyo leo hatuwezi kuhoji, lkn hawa wamesubiri muda muafaka ndio watoe hvyo vitendea kazi, hii ni rushwa, alafu mkuu huyu Kigwangalla ni miongoni mwa viongozi waliokosa maadili na sidhani kama atarudi kwenye uwaziri huyu, ni hopeless kabisa huyu jamaa.
 
Hakuna rushwa hapo ni kutimiza ahadi zake tuu hapo
 
Kwa msimamo wa CCM kujinasua na vitendo vya Rushwa ktk uchahuzi suala la Kigwangala kuwezesha vyombo vya usafiri vyenye thamani karibia billioni moja ambzo hata hazijafanyiwa uchungizi zimepatikanaje kwa wajumbe mkutano mkuu wa jimbo ambao kwa mujibu wa utaratibu ndio watakaopiga kira za maoni. CCM haitakuwa serious.

Suala hili lilitakiwa likemewe na chama palepale na si kulipaka mafuta kwamba alikuwa ktk kutekeleza ilani na bado inatoa mwanya wa kuwaruhusu kupitapita ati mpaka kuchukua fomu wako kazini bado.

Bunge limefungwa hawatuwakilishi popote, kwa sasa mawaziri na wateule wanafanya kazi kama waajiliwa wa serikali na siyo kama wabunge. Katibu Mkuu aliweke bayana.
Wanakula bata tu
 
Back
Top Bottom