Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Kwa msimamo wa CCM kujinasua na vitendo vya Rushwa ktk uchahuzi suala la Kigwangala kuwezesha vyombo vya usafiri vyenye thamani karibia billioni moja ambzo hata hazijafanyiwa uchungizi zimepatikanaje kwa wajumbe mkutano mkuu wa jimbo ambao kwa mujibu wa utaratibu ndio watakaopiga kira za maoni. CCM haitakuwa serious.
Suala hili lilitakiwa likemewe na chama palepale na si kulipaka mafuta kwamba alikuwa ktk kutekeleza ilani na bado inatoa mwanya wa kuwaruhusu kupitapita ati mpaka kuchukua fomu wako kazini bado.
Bunge limefungwa hawatuwakilishi popote, kwa sasa mawaziri na wateule wanafanya kazi kama waajiliwa wa serikali na siyo kama wabunge. Katibu Mkuu aliweke bayana.