Leo majira ya saa 5.20 asubuhi nikiwa ndani ya daladala la Mbweni-Mawasiliano no. T 166 EAD, tulipofika Mwenge mataa askari wakawapungia mkono ili wasimame pembeni. Kisha konda akachukua hela akampa dereva akawapelekea askari wakaipokea tukaendelea na safari.
Najiuliza mbona sijawahi kusikia TAKUKURU wamemkamata askari trafiki kwa rushwa wakati zinatolewa waziwazi? Kweli unapigwa mwingi.
Najiuliza mbona sijawahi kusikia TAKUKURU wamemkamata askari trafiki kwa rushwa wakati zinatolewa waziwazi? Kweli unapigwa mwingi.