Rushwa ya trafiki sasa ni bila kificho, yakijiri mpo?

Leo majira ya saa 5.20 asubuhi nikiwa ndani ya daladala la Mbweni-Mawasiliano no. T 166 EAD, tulipofika Mwenge mataa askari wakawapungia mkono ili wasimame pembeni. Kisha konda akachukua hela akampa dereva akawapelekea askari wakaipokea tukaendelea na safari.

Najiuliza mbona sijawahi kusikia TAKUKURU wamemkamata askari trafiki kwa rushwa wakati zinatolewa waziwazi? Kweli unapigwa mwingi.
 
Angechagua uraia wa Tanzania kila mtu angemuona mpumbavu. Kafanya chaguzi sahihi na ni nafasi wengi wanaitamani.
 
Leo majira ya saa 5.20 asubuhi nikiwa ndani ya daladala la Mbweni-Mawasiliano no. T 166 EAD, tulipofika Mwenge mataa askari wakawapungia mkono ili wasimame pembeni. Kisha konda akachukua hela akampa dereva akawapelekea askari wakaipokea tukaendelea na safari.

Najiuliza mbona sijawahi kusikia TAKUKURU wamemkamata askari trafiki kwa rushwa wakati zinatolewa waziwazi? Kweli unapigwa mwingi.
Polisi uhamiaji mahakama rushwa nje nje
 
Leo majira ya saa 5.20 asubuhi nikiwa ndani ya daladala la Mbweni-Mawasiliano no. T 166 EAD, tulipofika Mwenge mataa askari wakawapungia mkono ili wasimame pembeni. Kisha konda akachukua hela akampa dereva akawapelekea askari wakaipokea tukaendelea na safari.

Najiuliza mbona sijawahi kusikia TAKUKURU wamemkamata askari trafiki kwa rushwa wakati zinatolewa waziwazi? Kweli unapigwa mwingi.
Serikali inalipa mishahara midogo watumishi,wazidi kuwakamua kadri wawezavyo
 
Back
Top Bottom