Russia Army yapeleka ndege yenye zana Tehran

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Ndege ya mizigo ya Jeshi la Russia inashusha zana za Kivita huko Tehran ikiwa ni katika kuhakikisha package ya kipigo kwenda Israel kinafanyika kinatekelezwa kiustadi..

A military transport aircraft operated by Russia's 'Gelix' airline, known for transporting weapons and military equipment, has been spotted for the first time flying from Moscow to Tehran.

Amid concerns over a potential Iranian military operation against Israel, it is expected that the aircraft transported weapons from Russia to Iran.
 

Attachments

  • IMG_20240802_185122.jpg
    126.7 KB · Views: 4
Russia na israel hawana ugomvi haiwezi kufanya hivyo ondoa stori zako za kinafiki
 
Russia na israel hawana ugomvi haiwezi kufanya hivyo ondoa stori zako za kinafiki
Russia na Israel hawana ugomvi ila Russia yupo Syria na 2018 aliwahi kumsaidia Syria kwa s-300 kudungua ndege ya Israel ilipovamia Damascus.
Hao ni marafiki wana common interest.
Hata Iran haina ugomvi na Ukraine lakini ilimpa silaha makombora na kamikaze drones Russia impige Ukraine.
Utakua hujui what is geopolitical interests or diplomacy.
 
Kwamba Wayahudi wa Russia sasa wanapiga wayahudi wa Israel?
 
Ila mzee unajionaga mjuaji kudharau watu humu?
Wewe peke yako ndiye unajua geopolitical dipromacy humu?
Haya bhana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmeamza kujipendekeza kwa Russia..we tulia haujui kitu..
Ila israel kasema safari atakaemshambulia atajibu vikali msifikiri ni kama kipinde kile iran karusha makombora yake 300 yakapanguliwa yote sasahivi israel itajibu sasa sijui atatumia nuklia ngoja tuone
 
Kama kweli Urusi kapeleka silaha Iran basi ni Kwa ajili ya USA,maana inasemekana USA kapeleka wanajeshi huko.
Kinachowatenganisha Urusi na Israel ni USA.
Mahala popote alipo USA basi Urusi atakua kinyume chake.
Na mahala popote alipo Urusi basi USA atakua kinyume chake.
So kama USA atakua upande wa Israel kumpiga Iran basi Urusi atakua upande wa iran kupambana na USA.
Hii imewahi kutokea huko nyuma.
Toka zama za Yom kippur na seven day war.
 
Russia na israel hawana ugomvi haiwezi kufanya hivyo ondoa stori zako za kinafiki
Maandalizi ya kipigo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨Update: Emergency arms shipments to Iran!! The Russian Gelix Airlines, which specializes in arms transport, has just landed in Tehran with a high priority arms shipment!!
 

Attachments

  • IMG_20240802_195400.jpg
    139.7 KB · Views: 4
Ila ile Yomkippur war kama Russia alihusika basi alijua kumkaanga Israel na USA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚maana tifu lililopigwa pale Sinai halikua dogo halikua la kitoto AISEE.
Egypt mwarabu ila alikua kama Mchina kwa kukitifua.
 
Sa si ndo siraha zilezile zilizotumika na zinatumika Ukraine pia kwahiyo Mzigo wa Shaheed umerudishwa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…