Russia ameshindwa kwa watoto Ukraine mpaka leo zaidi mwaka bado anapigana tu.
Hapo anawadanganya wajinga anaenda kutoa msaada wa vifaa, kwani yeye havihitaji hivyo vifaa kwa ajili ya Ukraine?
Huyo Iran nae asieweza kujilinda, ataweza kutumia hizo silaha kwa mafanikio? atatumia nchi gani kurusha hizo silaha anazopewa msaada?
Hii vita nataka ianze haraka sana ili Israel athibitishe uwezo wake wa silaha, intelijensia, na mbinu za kivita kwa wote wanaojitoa akili, maana naona vile anavyowadungua magaidi mmoja mmoja mnaona kama anabahatisha.
The fact is; Myahudi anajiamini ndio maana hajawahi kuacha kuwatandika maadui zake popote walipo, hizi za kina Russia ni mbwembwe tu.
NB. Nashangaa sana kuona kuna wajinga mnaamini Israel atashindwa vita na Iran, hawa Iran ambao hawawezi hata kujilinda wenyewe wanapigwa mpaka chumbani kwao ndio wampige myahudi?!
You guyz can't be serious!.