Russia Army yapeleka ndege yenye zana Tehran

Ndege ya mizigo ya Jeshi la Russia inashusha zana za Kivita huko Tehran ikiwa ni katika kuhakikisha package ya kipigo kwenda Israel kinafanyika kinatekelezwa kiustadi..

A military transport aircraft operated by Russia's 'Gelix' airline, known for transporting weapons and military equipment, has been spotted for the first time flying from Moscow to Tehran.

Amid concerns over a potential Iranian military operation against Israel, it is expected that the aircraft transported weapons from Russia to Iran.
Yote hayo alishayajua in advance ndiyo maana anafanya anayofanya kwa kujiamini
 
kwa sasa bado sana haujafikia kiwango cha Israel kuhitaji matumizi ya nuklia.
🙌
Screenshot_20240719-215649.png
 
Linapokuja suala la israhell sina imani na wazungu wote
Unaweza ukaona upo nae au nao kumbe wenzako wanakuzunguka
Vita vibaya ila kama itakua sababu ya israhell kufyekwa acha vita ipiganwe
Ni kweli ila hapa nahisi Mrusi anamwaga ugali kwa sababu ya chokochoko za USA ambaye hawezi muacha Israel apambane pekee yake na yeye ataingia front. Chokochoko za USA ukraine zita mugharimu sana kwani Kuna mataifa ambayo yanakuja kuwa na nguvu kubwa sana za kijeshi kwa kuwezeshwa na Rusia
 
Russia mwenyewe anapumua kwa mashini kutokana na special military operation

Ndivyo tunavyotakiwa tuamini wakati Marekani ni nchi ya kwanza kununua Uranium Urusi. hizo nchi za Ulaya karibu zote zinaendelea kununua mafuta na gesi Urusi

Hungary ndiyo ameshituka sasa ametangaza kuwapa viza warusi kuingia nchini mwake na kwa maana hiyo wanaweza kuingia nchi yoyote ya Europea Union
 
Ndege ya mizigo ya Jeshi la Russia inashusha zana za Kivita huko Tehran ikiwa ni katika kuhakikisha package ya kipigo kwenda Israel kinafanyika kinatekelezwa kiustadi..

A military transport aircraft operated by Russia's 'Gelix' airline, known for transporting weapons and military equipment, has been spotted for the first time flying from Moscow to Tehran.

Amid concerns over a potential Iranian military operation against Israel, it is expected that the aircraft transported weapons from Russia to Iran.

Hii fake story, ingekuwa Russia and Israel ina uadui wa hivyo, Putin asingekuwa hai hadi leo hii..!! Israel will eliminate anyone who aims to destroy Israel, hivi unajua hata JF Kennedy aliuawa na muisrael baada ya kutaka kuzuia mpango silaha za nyuklia Israel..!! Putin hawezi fanya huo ujinga

hadi russia nae anaogopa israel tena? hizi taarifa huwa mnatoa wapi
 
Linapokuja suala la israhell sina imani na wazungu wote
Unaweza ukaona upo nae au nao kumbe wenzako wanakuzunguka
Vita vibaya ila kama itakua sababu ya israhell kufyekwa acha vita ipiganwe
Naona tangu Iran awape aibu umeanza kutumia common sense badala ya mihemko ya kidini.
 
Hii fake story, ingekuwa Russia and Israel ina uadui wa hivyo, Putin asingekuwa hai hadi leo hii..!! Israel will eliminate anyone who aims to destroy Israel, hivi unajua hata JF Kennedy aliuawa na muisrael baada ya kutaka kuzuia mpango silaha za nyuklia Israel..!! Putin hawezi fanya huo ujinga

Trump walimkosa juzijuzi

kwani unafikiri Putin amenusurika mara ngapi kuuawa ??

How did Putin possibly survive the 43 assassination attempt?
 
Back
Top Bottom