Russia Army yapeleka ndege yenye zana Tehran

Very smart comments
 
Hizi ni spiculation tu!
Hakuna kitu kama hicho! Isipokuwa kama Marekani itaingia katika vita hivyo ndipo Russia inaweza kuingia vitani.
Unadhani ikitokea total war marekani atakaa kuiangalia israel ikiwa inapigwa ?
Ingawaje hao russia na marekani linapokuja suala la israhell usiwe na imani nao
Wote wanaweza wakaungana wakawatwanga wanaoitwanga israhell
Mwisho kama vita itapelekea wazayuni kufa kwa wingi bora itokee tuuu
 
Ngojea tuone ila nisiwe mnafiq linapokuja suala la israhell hua siwaamini wazungu wote
Ila acha tu tuone ingawaje una hoja kwa ulo yasema
 
Naona tangu Iran awape aibu umeanza kutumia common sense badala ya mihemko ya kidini.
Mie hua naongea uhalisia wa majambo
Hii kauli nishaisema na naisema miaka na miaka
Nausilolijua sasa hata hili ninalolisema nisuala la dini
Yaliyomo nyoyoni mwao ni mabaya dhidi yenu kuliko wanayo yadhihirisha dini unasema haya
Pole kijana
 
Mnaishia kufurahi hivi lakini hakuna kinachotokea... This time mtoto wa Yakobo kaamua kuwashikisha ukuta..
 
Ayatollah bomayee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…