Russia Army yapeleka ndege yenye zana Tehran

Kaa Mbali na Ukungu ulipita na Kichwa Cha Mtu Sa hivi tunakwenda Kwenye season ya joto litaondika na huyu Ayatollah Muda utaongea
 
We Mjukuu wa allah wa chongoleani acha uongo. Utakusaidia nini ilhali kila siku mnagongwa na Israel pale Mashariki ya kati?
 
Ni vifaa gani Russia alivyonavyo kashindwa kuvitumia ukraine mpaka anaviomba korea kaskazini na iran labda anamrudishia Iran vidrone vyake akivitumie israel
 
Hata kidogo hujui siasa za Rusia na Israel. Wakati Ukrein aliomba kupewa na Israel mifumo ya ulinzi wa anga ,haraka sana Putin alituma ujumbe kwenda Tel aviv kumuomba asiwape Ukrein hizo mifumo, Mayahudi wala hawakumjibu Zelensyk. Huko Syria Mayahudi anapiga kila mara, warusi wapo. Labda hizo safari zimebeba misaada mingine siyo siraha za kuishambulia Israel. Anajua uimara wa mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel, kwamba ikifika Keyv kazi yake itakuwa ngumu
 
Manowari ya Kivita iliyosheheni Wanajeshi wa US ambao wengi wao ni Mashoga wana hamu sana na Ayatolah ambae huwaua Mashoga wenzao wa Iran.
 
BREAKING:

🇷🇺🇮🇷 Mass transport of weapons from Russia to Iran

Non-stop flights of IL-96 cargo planes from Russia to Iran, presumably carrying heavy military hardware

@Megatron_ron
 
Ila mzee unajionaga mjuaji kudharau watu humu?
Wewe peke yako ndiye unajua geopolitical dipromacy humu?
Haya bhana!
jibu kwa hoja mkuu , tueleze ujuaji wake tuamke usingizini
 
Tutaona pale Netanyahu na mawaziri wake watakapo toa mlio kama Zelensky kwa sasa wapo kwenye mapango kama nguchiro
israel wana nukes , huwa mnajihaulisha hv hv baadae mnaanza kutia huruma
 
Russia aoneshe uwezo ndani ya Ukraine
 
Urusi hana uadui huo na usa na kama urusi angekuwa hivyo angeshatandikwa zamani.
 
Russia na israel hawana ugomvi haiwezi kufanya hivyo ondoa stori zako za kinafiki
Anatafutwa America hapo hakuna Silaha ya Mrusi iinayopelekwa kwa ajili ya Israel bali ni kwa Western country kujibu misaada yao wanayopeleka ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…