Mnamkuza sana US. Vi nchi vya ulaya vyote vinategemea gesi kutoka Russia. Ulishasikia asilimia 30 ya mafuta ya kula duniani yanatengenezwa Russia.
Ukraine wanazalisha theluthi moja ya ngano duniani. Russia ana impact kubwa kwenye kubalance bei ya mafuta duniani. Halafu anatokea pimbi anasema eti US anaweza kumpiga Russia ndani ya wiki. Vita usiiangalie kwenye silaha za kivita tu, uchumi pia ni silaha. Mmeona ilivyoathiri Bei za bidhaa duniani.
Vita ya mwisho alivyowahi kupigana US peke yake ni Vietnam tu. US hapigani vita peke yake, lazima aingize na washirika na anaangalia pia ataathirika au atafaidika vipi kiuchumi.
Sent from my TECNO PR651H using
JamiiForums mobile app