Russia could go to war with the USA any day now. What are your thoughts on this?

That’s time when the rest of the World will see the so called Weapon of Mass Destruction….. the like of Intercontinental Ballistic Missiles etc….
 
Mnakera nyie mnaomhusudu usa
Ukitaka usikereke usiwe unatembelea International forum,lakini kama kila mara macho kodo unasoma hizi nyuzi,jiandae kisaikolojia kukereka zaidi.Hatuwezi wote tukawa na mawazo ya kizamani ya kikomunist.
 
Humjui russia wewe
Kwani kuna nini cha zaidi Russia? Ni moja kati ya mataifa 10 yenye nguvu za kiuchumi Duniani, jibu ni hayumo.Sasa huo Usupapawa anautoa wapi? Hizo silaha anazokaa kila siku anapigia watu kelele si alizichukua baada ya USSR kusambaratika.Sasa Urusi kama Nchi ina nini cha ziada,usiniambie maswala ya gesi na mafuta,maana hayupo nayo peke yake hapa Duniani na hata kama anayo,mbona hayamfanyi sasa kuwa Taifa lenye nguvu za kiuchumi Duniani.Nchi inazidiwa hadi na Japan.
 
Aisee wewe hunaga maarifa
 
We have a lot of problems in our very own country... with clueless and underperforming political leaders... spiking prices... unemployment... poor education, etc
Why can't we figure out how to move our country forward instead of dwelling on historical Ukraine-Russian tensions?
Ndiyo maana hii ikaitwa International Forum,hayo maswala ya nyumbani,nenda kajikite kule kwa Jukwaa la Siasa,utoe madini yako jinsi ya kutukwamua.
 
Aliefanya huo uhuni ni ujerumani US hana hicho kiburi yani bila TAG aingii kwenye mapigano. Aje yeye kama yeye auone mziki wake.

Russia ilishajifunza wayback na wali retaliate vibaya mno. Soma operation Barbarossa
Angekuwa amejifunza angekuwa ni Taifa lenye nguvu zaidi katika nyanja zote.
 
Naona proNato baada ya kuchakazwa kule kwenye ule uzi maalum wamekuja kujazana huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti baada ya kuchakazwa,unadhani vita inapiganwa hapa kwa comments,wenye akili zao wameamua kuwaachieni mflood macomments kibao lakini yasiyo kuwa na maana kwakuwa ndiyo njia ya kujipa ahueni baada ya Putin kudharirika Ukraine.Sisi tunaangalia kinachoendelea Ukraine na leo ni siku ya 100 ngoma ndiyo kwanza inaanza kupigwa.Hakuna blah blah za special operation ya masaa 72.Haya nenda kaseme kuwa tupo tumejazana hapa waje watupige tena na vita ya comments.
 
Ahahah..hard feelings
 
Back
Top Bottom