Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Lugha ya malkia ni janga la Kitaifa kumbeRussian won't go with em in war.. they will just fell they are wasting their time. They will just use One bomb.... USA have to be very careful
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha ya malkia ni janga la Kitaifa kumbeRussian won't go with em in war.. they will just fell they are wasting their time. They will just use One bomb.... USA have to be very careful
You might be right... but thinking or talking about Russia vs Ukraine while back home your people experience worst cases of injustice, poverty, unemployment, inequity, hunger, sicknesses, etc doesn't make any sense to me.Ndiyo maana hii ikaitwa International Forum,hayo maswala ya nyumbani,nenda kajikite kule kwa Jukwaa la Siasa,utoe madini yako jinsi ya kutukwamua.
Nyamizi umeona msumari wangu wa Malkia? Na wewe ungechomeka wakoLugha ya malkia ni janga la Kitaifa kumbe
Ukibishana nae huyo lazima upoteze maji mwilini coz hakuna akielewacho[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unaikuza nchi ambayo ndio inayo ongoza kwa kuwa na silaha nyingi za nuclear...hivi hizi ni akili za wapi
Una uhakika boss? Tuletee ushahidi..Asilimia 90 ya nyuklia za urusi zilitengenezwa enzi za USSR na zinakaribia kuexpire.
Hata Vietnam kulikua na wafaransa walioamua kukimbia baada ya kichapoMnamkuza sana US. Vi nchi vya ulaya vyote vinategemea gesi kutoka Russia. Ulishasikia asilimia 30 ya mafuta ya kula duniani yanatengenezwa Russia.
Ukraine wanazalisha theluthi moja ya ngano duniani. Russia ana impact kubwa kwenye kubalance bei ya mafuta duniani. Halafu anatokea pimbi anasema eti US anaweza kumpiga Russia ndani ya wiki. Vita usiiangalie kwenye silaha za kivita tu, uchumi pia ni silaha. Mmeona ilivyoathiri Bei za bidhaa duniani.
Vita ya mwisho alivyowahi kupigana US peke yake ni Vietnam tu. US hapigani vita peke yake, lazima aingize na washirika na anaangalia pia ataathirika au atafaidika vipi kiuchumi.
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kumbe Ni NATO au siondo nyinyi mnasemaga USA aliivamia Libya , mnapenda udaku kuliko ukwel
Mimi lugha ya Malkia naiogopa maana sikuzaliwa pale Windsor castle,nilisoma kayumba.Lakini pamoja na kutokuifahamu kwangu vizuri pale juu wewe umeivunja vunja sana lugha ya wenyewe.Nyamizi umeona msumari wangu wa Malkia? Na wewe ungechomeka wako
Nyamizi si umeona kama JP Omuga ung'eng'e ulivyooka Sasa wewe baki huko KwaYou might be right... but thinking or talking about Russia vs Ukraine while back home your people experiences worst cases of injustice, poverty, unemployment, inequity, anger, etc doesn't make any sense to me.
Insanity!
Kunivunja ndio Hadi yetu " you kwiw"Mimi lugha ya Malkia naiogopa maana sikuzaliwa pale Windsor castle,nilisoma kayumba.Lakini pamoja na kutokuifahamu kwangu vizuri pale juu wewe umeivunja vunja sana lugha ya wenyewe.
Nilichomaanisha ni kuwa, kama US kaspend 20 years kupambana Afghanistan ila mwisho wa siku kashindwa vita na kawaachia nchi Taleban na hapa unasema Russia hawezi kumaliza wiki kwenye vita na US atakuwa kachakazwa si maana yake Afghanistan wana nguvu kijeshi kuliko Russia!Taliban wameachwa sasa hivi wananyanyasa raia kule. Marekani anasaidia dunia kuwa na amani.