Russia could go to war with the USA any day now. What are your thoughts on this?

Nimeota ndoto kuwa Russia imeanzisha mashambilizi makali Sana kutoka mashariki kuelekea Kiehv , na kasikazini kukiwa na jeshi kubwa kabisa kutoka Beralus , huku kusini kukiwa na mapambano makali saa kuelekea Kihv wanajeshi wa ukreni wakatupa silaha na kuanza kukimbia ovyo. Rais Zelensky akiwa kwenye mkutano na Baraza lake la mawazili wakapata habari hizo , wakapanga kutoroka kwa reli lakini mbele ikawa reli imekatawa ,wakadakwa kiulaiiini. Mwisho wa ndoto yangu.
 
Russia anapambana na Nato plus USA
 
The time has proved that there's no country can confront the US.
Russia has already shaken by proxy war in Ukraine. Russia to invade US is suicide decision that can't be made now even putin and his asslickers know this sad truth.

Nani kasema invasion?
 
Mshawishi Cowboy ashushe some shells basi pale Urusi tuamu mchezo
Pale plan yetu ni akae muda mrefu ili uchumi wake uumie. Strategy ndio hiyo hiyo kumsukumia china kule taiwan ili vikwazo vimsimamishe kiuchumi.
 
Wandugu tofautishenj conventional and non conventional war .Vita ya Russia na Us ni non conventional unatumia kila silaha iliyonayo na unalenga popote kwaiyo vijana wachanga mtambue tofauti ya vita hizi mbili . US ina miji au majiji makubwa yenye msongamano na Russia ana nuclear war heads maelfu zaidi ya US na masilaha mabaya kwa binadamu kuliko US
 
Hawa madogo wang£s£ , wanadhani vita inapiganwa mdomoni au Kwa kujimwambafai
 
Source ?

Vita vya Ukraine vinamtosha Urusi kwa sasa, ni ngumu kuanzisha Vita mpya.
Ah wapi, Urusi inaweza kuwa na Vita Hata Nne na Bado ikazimudu.

Man Power wanayo, Over 2M People
Vifaa wanavyo Vingi sana Tangu enzi ya USSR,

Nuclear ndo usiseme, Over 6000 Nuclear war heads.

Millitary and Full scale war Budget wanayo ya kulast Over 4 years, na nikisema over 4 years namaanisha wapigane bila kupumzika asubuhi na Jioni, Mafuta ya Vifaa ndio usiseme, Chakula kipo Cha Kutosha. What else?
 
Uchumi wao uliowekewa vikwazo hauruhusu hayo ulioandika.
 
Russian won't go with em in war.. they will just fell they are wasting their time. They will just use One bomb.... USA have to be very careful
 
Urusi Wana legacy ya USSR vs NATO Sasa sijui watu wanababaika nini. Ila urusi anapoona anazinguliwa atashusha Nuclea. Who's ready to carry atomic bomb. Nadhani wamarekani wawe wapole tuuu. Un less wakitaka waishushe Moscow in which pitin seem to be ready na yeye kumuwahi muamerika. Haya mambo yasikieni tu
 
Uchumi wao uliowekewa vikwazo hauruhusu hayo ulioandika.
Vikwazo vipi wakati Mpaka Leo Europe Wananunua Mafuta na Gesi kutoka Urusi tena wengine Kwa Pesa ya Urusi, Inshort ni kwamba Russia can never be Isolated, Bado makampuni Mengi tu ya Ulaya yanafanya kazi Urusi, na Yaliyoondoka hayajanodoka kikamilifu, Mengi yameweka terms kwamba mambo yakikaa sawa yatarudi kuendelea na Kazi.

Urusi ukiachana na mengine Bado ni wazuri sana kwenye teknolojia, baadhi ya Nchi za Ulaya na Marekani wanategema Technology ya Urusi hasa ya Mitambo, Makombora na Engine za Rocket

Zaidi hivyo vikwazo vitatuumiza sisi huku na Nchi nyingine za Dunia ya Tatu na ndio lengo Kuu la Vikwazo hivyo Ili Dunia imlaumu na iwe kinyume na Urusi.
 
Basi endelea kuota hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…