Russia imeiambia Israel iondoke Golan kabla hawaingia vitani kuwafurusha

🇷🇺🇸🇾 Russia tells Israel the Golan Heights belong to Syria.

Russian Armed Forces intensify operations in Syria, striking ISIS and expelling Israel from the Golan Heights.
Ukitaka kupata vichekesho kama hiv unabonyeza wapi tena
 
Reactions: 511
Kauli hizi kwenye bible huwezi kuta, ndio maana tuna amini Quran ni Alfa na Omega.
 
Russia anatafuta kuwa relevant; na anataka kutumia mwanya uliopo wa siasa chafu ziendazo na uchaguzi wa Marekani kipindi hiki. Imekuwa ni vigumu Marekani kutoa silaha za misaada kwa sababu za kisiasa za ndani.
Ndio mbinu ya kushinda vita bila kurushiana risasi.

Russia wanaona bora Marekani ikawa na mtu waliyekuwa na "compromat" nae, kuliko huyu anayekorofisha , ingawaje ni sera yao, kusokomeza "Democracy" hata ikibidi, kwa njia ya mtutu, lakini Bora yule wahed.

Russia is relevant.
 
Kauli hizi kwenye bible huwezi kuta,
Tambua Mohammad hakuwa na imani na alichofanya yeye ni kukusanya kusanya hadith from dini mablimbali akaziweka kwenye Kitabu chake akasema ni Quran from Allah
ndio maana tuna amini Quran ni Alfa na Omega.
Sijaelewa wapi unapoamini kuwa ni Alfa na Omega.. acha nawe kuwa mockary kama wengine... me huwa natoa fact ukanjanja sina kama Mtume wenu... Quran ni kitab cha vichekesho so uki kiita ni Alfa na Omega unamkosea Mungu..
 
Reactions: 511
Marekani imeonyesha udhaifu Sana kushindwa kuzuia vita ya Netanyau kule Gaza
siasa za ndani marekani zimekuwa za hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Ni tofauti sana na zamani ambapo mambo yote ya nje yalikuwa yanasimamiwa chini ya serikali kuu tu. Siku hizi Spika naye anaingilia mambo ya nje
 
siasa za ndani marekani zimekuwa za hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Ni tofauti sana na zamani ambapo mambo yote ya nje yalikuwa yanasimamiwa chini ya serikali kuu tu. Siku hizi Spika naye anaingilia mambo ya nje
Kweli kabisa, ndiyo maana hata Netanyau haogopi kumpuuza Biden.

Ukiukaji wa Sheria za kimataifa na uhalifu unaofanywa na Israel kule Gaza huku Marekani na baadhi ya nchi za ulaya magharibi kuendelea kuifadhili Israel kwa silaha na fedha na kuikingia kifua isiwajibishwe, utakuja kuleta athari mbaya siku za mbeleni.
 
Netanyahu ana uhusiano gani na watu wa Musa!?...
 
Unamkosea Mungu gani!...yule aliyebondwa na yakobo usiku kucha!?..kitabu kinachosema Mungu alishuka akapigana na kiumbe chake na kupigwa unaona siyo kitabu Cha vichekesho Bali kile kinachosema Mungu muweza wa kila Jambo mwenye nguvu kuliko yeyote ndiyo unaona Cha vichekesho!?..hapo siyo akili zako ndiyo vichekesho!?
 
Hivi kwa akili zako hao unaowaona hapo Israel ndio wayahud Halisi aliwabariki Allah? Hao ni wahuni tu wa kizungu
 
Haya Generali wa irani kalazwa na viatu huko.......pamoja na wenzake wa 5
 
وَقَاتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ الَّذِينَ يُقَاتِلُونَكُمْ وَلَا تَعْتَدُوا ۚ إِنَّ اللَّهَ لَا يُحِبُّ الْمُعْتَدِينَ
Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.

Tutaendelea kuwaelimisha Hadi nafasi zenu zitapoukiri ukweli,hata Kama hamtoutamka hadharani lakini nyuma ya vichwa vyenu mtaujua
 
Kashindwa kuwafurusha Yukrein atawaweza hao wateule
Punguza bange.
UKraine ndio kashindwa kumfurusha Russia maana Ukraine ndio imevamiwa.
Au hujui Ukraine bado imemegwa.
Israel sawa yake Hamas Russia dubu mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…