inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Allah sw anawazungumzia Wana wa Israel na si wayahudi,musa' hakuwa myahudi,uyahudi ni dini ndiyo maana Kuna waethiopia, Eritrea na wengine wengi Wana Imani ya kiyahudi, netanyahu na waturuki wenzie na Ukraine wamejiita wayahudi na kwenda kupora ardhi za watuHivi kwa akili zako hao unaowaona hapo Israel ndio wayahud Halisi aliwabariki Allah? Hao ni wahuni tu wa kizungu