Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Urusi imetangaza dau mamilioni ya Dola kwa Marubani wa Ukraine na Western watakao rusha ndege za F 16 za msaada kwa Ukraine wazitoroshe kwenda Urusi

Russia promised Western and Ukrainian military pilots a million dollars for the ``kidnapped'' fighter F-16

IF THEY DEFECT TO HER SIDE WITH THE ARMS OF THOSE FIGHT PLANES - THE BONUS WILL BE INCREASED

The pilot or pilots who defect from the F-16 to Russia will be guaranteed anonymity, a safe flight corridor and escort in all phases акције , and will also receive new documents and a new place of residence.
 
Attachments

  • IMG_20240617_152116.jpg
    IMG_20240617_152116.jpg
    46.1 KB · Views: 6
Putin mshamba, akili yake alidhani atadhofisha uchumi wa dunia, maana ni wazo lake la miaka zaidi ya 30 nyuma akijiwekeza kuja kuivuruga Ulaya na USA
Hawezi kufanikiwa, rais atakayekuja baada ya Putin atapata shida kujenga uchumi wa Rusia, huwezi shindana na nchi tajiri kiuchumi ikabaki salama, gharama za vita ni kubwa sana, hicho kitu nilishasema Ukraine hawezi salim amri na wakati NATO yuko nyuma yake. Hizo nyuklia anaposema atawapiga NATO na wao wanazo hata Rusia haiwezi kubaki salama, akipiga na wao wanapiga. Vita ya nyuklia haina mshindi .Akipiga yeye wananchi wake atawaficha wapi?
 
Vita ya nyuklia ikianza NATO itahamia Russia na watamkamata Putin na kumnyonga hadharani,
 
Mimi niko na Putin lakini kwa hili kakosea sana Western watafanya hivyo hivyo kwa wale mapilot wa SU57 wakatoa same offer zikapelekwa kwao.

Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana
 
Nimegundua sisi tunajadili tunachokikuta kwenye mitandao ila kukutana na taarifa za Rusia kwenye mitandao ni nadra sana wakaweka mambo Yao na target zao bayana ,mambo ya Rusia ni ngumu sana kuyajua kwenye level zetu
 
Mimi niko na Putin lakini kwa hili kakosea sana Western watafanya hivyo hivyo kwa wanao peleka SU57 kwao.

Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana
Nanukuu: "...Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana"
Putin anazeeka vibaya au ameshazeeka mno kiakili na katika Uongozi wake hii ni kashfa kubwa kwa Taifa lake:
1. Amewadhalilisha marubani wake kwa kutaka kujipatia marubani mamluki
2. Ameitangazia dunia ya magharibi kwamba pamoja na Tech. yake yoote, bado tech. iliyotumika kuunda F16 ni kitendawili kwake (kwa Urussi)
3. Mzee mzima Putin anataka kujigeuza jambazi wa kuiba vya wenzake kwa mabavu na njia ya kuhonga (Bribe).
4. Amewafedhehesha wanaSayansi nchini mwake kwamba wamepitwa kitechnolojia na wanasayansi wa magharibi na hivyo ameona aingilie kati kwa kutumia njia ya wizi. Mzee anafaulisha Tech. kimtindo.
5. Ameidhalilisha na kuidunisha Elimu itolewayo na Russia kuwa ni ya kiwango cha chini mno na pia wasomi wengi wa nchini kwake aliwatanguliza Ukraine na wote wamepukutika (RIP) hana tena namna ya kufanya ila atumie ukomandoo uchwara alionao kuingia porini kuiba. Ni aibu.
 
Nanukuu: "...Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana"
Putin anazeeka vibaya au ameshazeeka mno kiakili na katika Uongozi wake hii ni kashfa kubwa kwa Taifa lake:
1. Amewadhalilisha marubani wake kwa kutaka kujipatia marubani mamluki
2. Ameitangazia dunia ya magharibi kwamba pamoja na Tech. yake yoote, bado tech. iliyotumika kuunda F16 ni kitendawili kwake (kwa Urussi)
3. Mzee mzima Putin anataka kujigeuza jambazi wa kuiba vya wenzake kwa mabavu na njia ya kuhonga (Bribe).
4. Amewafedhehesha wanaSayansi nchini mwake kwamba wameshindwa kitechnolojia na wanasayansi wa magharibi na hivyo ameona aingilie kati kwa kutumia njia ya wizi.
5. Ameidhalilisha na kuidunisha Elimu itolewayo na Russia kuwa ni ya kiwango cha chini mno na pia wasomi wengi wa nchini kwake aliwatanguliza Ukraine na wote wamepukutika (RIP) hana tena namna ya kufanya ila atumie ukomandoo uchwara alionao kuingia porini kuiba. Ni aibu.
Mbona yale mavifaru ya mjerumani na marekani alitangaza dau na akayapata,,,,,,,.......hapo anajua pia wanajeshi wa Ukraine njaa imezidi lazima kuna ambao watatamani hio ofa
 
Ndo hapo sasa hizo ndege zitarushwa kwa kibali maalum cha NATO au USA au marubani watangezewa mishahara/malipo kwa rubani atakaye rudi uwanjani na ndege ikiwa salama. Hata hivyo, kwa Tabia ya Mrusi kuwa ni kigeugeu haaminiki marubani walengwa wa ndege hizo watamshtukia na hakuna atakayeshawishika kufanya hilo la ahadi hewa. Ingekuwa ni USA katoa hiyo ofa duh! yani kesho tuu ungesikia tayari Sukhoi (su-57)zimeshafikishwa USA haraka sana - Si tuliona lile la Osama Bin Laden lilivyo tekelezwa chap!.?
 
Mbona vile vifaru watu walipewa chao......na hizo ndege kama Houthi tu waliweza kuzitungua na hawana silaha za maana sembuse mrusi
 
nyinyi amjamsoma akili za putin, anaangalia muitikio wa marubani wa ukraine. Hizo anazitamani sana wazilete anajifanya kama anaziogopa ili ziingie
Zikiingia zitamjeruhi vibaya mno na kuondoka salama halafu na kesho yake zitarudi tena kivingine hadi akili zimkae sawa.
 
Back
Top Bottom