Militarily hiyo ni kawaida kabisa soma kuhusu NATO backed offer ya Ukraine juu ya marubani wa kirusi kufanya defection ya Su 35 mwaka huuhuu.Nanukuu: "...Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana"
Putin anazeeka vibaya au ameshazeeka mno kiakili na katika Uongozi wake hii ni kashfa kubwa kwa Taifa lake:
1. Amewadhalilisha marubani wake kwa kutaka kujipatia marubani mamluki
2. Ameitangazia dunia ya magharibi kwamba pamoja na Tech. yake yoote, bado tech. iliyotumika kuunda F16 ni kitendawili kwake (kwa Urussi)
3. Mzee mzima Putin anataka kujigeuza jambazi wa kuiba vya wenzake kwa mabavu na njia ya kuhonga (Bribe).
4. Amewafedhehesha wanaSayansi nchini mwake kwamba wamepitwa kitechnolojia na wanasayansi wa magharibi na hivyo ameona aingilie kati kwa kutumia njia ya wizi. Mzee anafaulisha Tech. kimtindo.
5. Ameidhalilisha na kuidunisha Elimu itolewayo na Russia kuwa ni ya kiwango cha chini mno na pia wasomi wengi wa nchini kwake aliwatanguliza Ukraine na wote wamepukutika (RIP) hana tena namna ya kufanya ila atumie ukomandoo uchwara alionao kuingia porini kuiba. Ni aibu.
Soma pia kuhusu coldwar defection ya Mig 25 dege la kisasa la kisoviet lililoishia Japan.
Soma pia namna ambavyo wamagharibi walikuwa wakiimind Mig 29 ilivyodefecti kwenda Uturuki wakaishawishi Uturuki iruhusu waichunguze Uturuki wakakataa .. hiyo nayo NATO waliishiwa na technology?
Nb.
Military intelligence Ina namna nying ya kupata taarifa kama hiyo
