Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaepigia mstari anaonekana haihitaji propaganda nyingi.......,mrusi ameshaukataa inatosha.......nyie endeleeni kujiachia na ushoga wenu kwenu si kawaida tuMwe mwe mweee. Laiti ungelijua East walivyoboboea katika ushoga wala usingelisema hivyo. Jaribu kupata habari e.g. Mji wa Pattaya ulioko huko mashariki nchini Thailand. Ni bora anayefanya ushoga kwa uwazi kwani tutajua amefikia wapi kuliko yule anayeusagia kunguni ushoga kwa wazi lakini huku kwa siri anaufanya na kuuendeleza Hatutajua amefikia wapi ila unastukia paaap" yupo miguuni kwako.
Mrusi aliukataa wapi? Mbona ndiye anayeufanya kiasi cha kupitiliza lakini kwa siri? Kama ushoga usingelikuwako huko Urusi basi kungelikuwa hakuna sababu ya kuweka Sheria au Katazo.Anaepigia mstari anaonekana haihitaji propaganda nyingi.......,mrusi ameshaukataa inatosha.......nyie endeleeni kujiachia na ushoga wenu kwenu si kawaida tu
Urusi imetangaza dau mamilioni ya Dola kwa Marubani wa Ukraine na Western watakao rusha ndege za F 16 za msaada kwa Ukraine wazitoroshe kwenda Urusi
Russia promised Western and Ukrainian military pilots a million dollars for the ``kidnapped'' fighter F-16
IF THEY DEFECT TO HER SIDE WITH THE ARMS OF THOSE FIGHT PLANES - THE BONUS WILL BE INCREASED
The pilot or pilots who defect from the F-16 to Russia will be guaranteed anonymity, a safe flight corridor and escort in all phases акције , and will also receive new documents and a new place of residence.Vita Hadaa: Hapo uenda kapiga jiwe moja ndege wawili. Moja, kawatisha US 🇺🇸 wabalance uingizwaji wa F16. Pili, kama rubani akifanikiwa kuileta Russia basi watapata advantage ya kuisoma mifumo iliyopo katika ndege hizo.
Mrusi aliukataa wapi? Mbona ndiye anayeufanya kiasi cha kupitiliza lakini kwa siri? Kama ushoga usingelikuwako huko Urusi basi kungelikuwa hakuna sababu ya kuweka Sheria au Katazo.
Soma hapa..
Russia
Overview
Homosexuality is legal in Russia since 1993, however societal anti-homosexual sentiments are high with over 70% of the population holding hostile views towards homosexual people. Currently there are no laws in place protecting LGBT people in Russia from discrimination in areas of employment, housing or military service. However, legally homosexual people are allowed to serve in the military openly. In fact, a law that banned 'propaganda of nontraditional sexual relations' practically legitimises discrimination against LGBT people. Same-sex partnerships is not recognised by law. It is legal to change one's legal gender, but sex reassignment surgery is
Wakati Ulaya na Marekani wana shuka kiuchumi sababu ya vita hivyo, yeye Putin na Urusi yake wanakuwa wanapaa kiuchumi?Hii vita Putin anapigana kijanja sana,anairefusha makusudi ili Marekani na nchi za Ulaya wayumbe kiuchumi. Kwani mrusi kaishiwa drones hadi atumie za Iran,kwa nini kachukua tani za silaha kutoka N korea. Ndiyo maana anataka hizo silaha wanazompa Ukrani azitumie hizo hizo kuwachapa nazo. Putin ni genius sana
Hebu Kuwa serious kati ya Putin na BABA yako nan mshambaPutin mshamba, akili yake alidhani atadhofisha uchumi wa dunia, maana ni wazo lake la miaka zaidi ya 30 nyuma akijiwekeza kuja kuivuruga Ulaya na USA
Ni baba yakoHebu Kuwa serious kati ya Putin na BABA yako nan mshamba
Huu ndio uwezo wa watanzanzia kufikiriaHawezi kufanikiwa, rais atakayekuja baada ya Putin atapata shida kujenga uchumi wa Rusia, huwezi shindana na nchi tajiri kiuchumi ikabaki salama, gharama za vita ni kubwa sana, hicho kitu nilishasema Ukraine hawezi salim amri na wakati NATO yuko nyuma yake. Hizo nyuklia anaposema atawapiga NATO na wao wanazo hata Rusia haiwezi kubaki salama, akipiga na wao wanapiga. Vita ya nyuklia haina mshindi .Akipiga yeye wananchi wake atawaficha wapi?
Warusi wachovu tuuuu ktk system za maisha. Uwezi kuwa mjamaaa ukawa na akili nzuri hata siku mojaOk. Ruksa. Mie naenda na West. Mrusi mie simpendagi kutokana na experience yangu kwake nilipokuwa jeshini.
Mojawapo ya kasoro za Warusi Ni walevi wa kutupwa na hawaishi kujibamba na kujiona wao ndo watu. Lakini pia kama ulivyodokeza hapo juu, wengi wao vichwani ni empty kabisa (Tabula rasa)Warusi wachovu tuuuu ktk system za maisha. Uwezi kuwa mjamaaa ukawa na akili nzuri hata siku moja
Unataka kuniambia mama yako alikuwa mchepu wa dingi yangu? Hata kama kweli ila wewe huwezi kuwa mtoto wa babanguNi baba yako
Yani taifa la kwanza kwenda anga za juu kwako ni tabula rasa kawasome kina yuri gagarin na mwanamama tereshkova ; na hiyo ni 1960sMojawapo ya kasoro za Warusi Ni walevi wa kutupwa na hawaishi kujibamba na kujiona wao ndo watu. Lakini pia kama ulivyodokeza hapo juu, wengi wao vichwani ni empty kabisa (Tabula rasa)
Sawa. Lakini hao ni wachache i.e. Statistically is an Insignificant figure. Nenda kwenye majority ndo utashangaa.Yani taifa la kwanza kwenda anga za juu kwako ni tabula rasa kawasome kina yuri gagarin na mwanamama tereshkova ; na hiyo ni 1960s
Mnapenda sana kuipa uzito Russia ambao hana.Ujue katika marubani hao kuna maajent wa Russia!
Ukiwasikiliza vijana wa Putin unaona kabisa udini na utoto unawasumbua. Wasamehe bure.Wakati Ulaya na Marekani wana shuka kiuchumi sababu ya vita hivyo, yeye Putin na Urusi yake wanakuwa wanapaa kiuchumi?