Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

Anashindwa nini kuboresha mifumo yake ya ulinzi ili kuzishusha hizo ndege?

Kama F16 tu anaanza kutoa fungu la hongo kwa marubani, vipi kwa F18, F22 na F35?
F16 ndo mzigo wa NATO. Halafu Isha prove battle fitness. US hawezi pelwka f35 kwa all NATo members hiyo ndo pigo lake la mwisho na bado halijaa kaa sawa. Unafikiri hawata defect?
Kwa jinsi wanavyokamatwa kupelekwa jeshini wayukreni watadefect tuu tungoje muda
 
Anashindwa nini kuboresha mifumo yake ya ulinzi ili kuzishusha hizo ndege?

Kama F16 tu anaanza kutoa fungu la hongo kwa marubani, vipi kwa F18, F22 na F35?
hyo nayo ni mbinu ya kumlegeza adui
 
nyinyi amjamsoma akili za putin, anaangalia muitikio wa marubani wa ukraine. Hizo anazitamani sana wazilete anajifanya kama anaziogopa ili ziingie
Hamna akili kabisa pale. Hii Vita sawa na kwamba amefail. Kwenye hiyo Vita Putin alitegemea mambo mengi sana yatokee. 1. Alitegemea kulimaliza Vita kwa muda mfupi,then Ukraine atasalimu amri. 2. Alitegemea sana kuutikisa uchumi wa dunia nzima. Hapo ndio jumuia ya ulaya na USA walipofauru 💯.
Ksbb Vita vilipoanza tu ndio uchumi ulitukisika kidogo mpaka huku Africa. Hata kule ulaya akawafungia fungia gesi. Lakini ongalia mpaka sasa Vita bado vinaendelea lakini ukiangalia ni kama hamna Vita uchumi wa dunia umerudi imara sana na unatembea kama hamna chochote. Tofauti kabisa na matarajio ya Putin. Hili tu limekuwa pigo kubwa kwa Putin.
3. Mpaka sasa hivi anakutana na upinzani mkali sana mle mle ndani ya nchi yake. Ni vile tu anaongoza kwa mabavu, anaua wapinzani wake pia na kuviminya vyombo vya habari visiwe huru.
Muda wake unahesabika sasa.
 
Back
Top Bottom