green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Inatakiwa ndege nzima nzima sio mabaki ya ndegeAnashindwa nini kuboresha mifumo yake ya ulinzi ili kuzishusha hizo ndege?
Kama F16 tu anaanza kutoa fungu la hongo kwa marubani, vipi kwa F18, F22 na F35?
Hawezi kufanikiwa, rais atakayekuja baada ya Putin atapata shida kujenga uchumi wa Rusia, huwezi shindana na nchi tajiri kiuchumi ikabaki salama, gharama za vita ni kubwa sana, hicho kitu nilishasema Ukraine hawezi salim amri na wakati NATO yuko nyuma yake. Hizo nyuklia anaposema atawapiga NATO na wao wanazo hata Rusia haiwezi kubaki salama, akipiga na wao wanapiga. Vita ya nyuklia haina mshindi .Akipiga yeye wananchi wake atawaficha wapi?Putin mshamba, akili yake alidhani atadhofisha uchumi wa dunia, maana ni wazo lake la miaka zaidi ya 30 nyuma akijiwekeza kuja kuivuruga Ulaya na USA
Vita ya nyuklia ikianza NATO itahamia Russia na watamkamata Putin na kumnyonga hadharani,Hawezi kufanikiwa, rais atakayekuja baada ya Putin atapata shida kujenga uchumi wa Rusia, huwezi shindana na nchi tajiri kiuchumi ikabaki salama, gharama za vita ni kubwa sana, hicho kitu nilishasema Ukraine hawezi salim amri na wakati NATO yuko nyuma yake. Hizo nyuklia anaposema atawapiga NATO na wao wanazo hata Rusia haiwezi kubaki salama, akipiga na wao wanapiga. Vita ya nyuklia haina mshindi .Akipiga yeye wananchi wake atawaficha wapi?
Nanukuu: "...Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana"Mimi niko na Putin lakini kwa hili kakosea sana Western watafanya hivyo hivyo kwa wanao peleka SU57 kwao.
Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana
Mbona yale mavifaru ya mjerumani na marekani alitangaza dau na akayapata,,,,,,,.......hapo anajua pia wanajeshi wa Ukraine njaa imezidi lazima kuna ambao watatamani hio ofaNanukuu: "...Hata mapilot wa Russia wataona vipi kawathamini Western pilot kuliko wao labda.mishahara yao chini kabisa, hi akili aliyo tumia Putin ya kitoto sana"
Putin anazeeka vibaya au ameshazeeka mno kiakili na katika Uongozi wake hii ni kashfa kubwa kwa Taifa lake:
1. Amewadhalilisha marubani wake kwa kutaka kujipatia marubani mamluki
2. Ameitangazia dunia ya magharibi kwamba pamoja na Tech. yake yoote, bado tech. iliyotumika kuunda F16 ni kitendawili kwake (kwa Urussi)
3. Mzee mzima Putin anataka kujigeuza jambazi wa kuiba vya wenzake kwa mabavu na njia ya kuhonga (Bribe).
4. Amewafedhehesha wanaSayansi nchini mwake kwamba wameshindwa kitechnolojia na wanasayansi wa magharibi na hivyo ameona aingilie kati kwa kutumia njia ya wizi.
5. Ameidhalilisha na kuidunisha Elimu itolewayo na Russia kuwa ni ya kiwango cha chini mno na pia wasomi wengi wa nchini kwake aliwatanguliza Ukraine na wote wamepukutika (RIP) hana tena namna ya kufanya ila atumie ukomandoo uchwara alionao kuingia porini kuiba. Ni aibu.
Jibu ni rahisi.ANAZIOGOPA SANA.Anashindwa nini kuboresha mifumo yake ya ulinzi ili kuzishusha hizo ndege?
Kama F16 tu anaanza kutoa fungu la hongo kwa marubani, vipi kwa F18, F22 na F35?
nyinyi amjamsoma akili za putin, anaangalia muitikio wa marubani wa ukraine. Hizo anazitamani sana wazilete anajifanya kama anaziogopa ili ziingieJibu ni rahisi.ANAZIOGOPA SANA.
Hongera kwa kusoma akili ya Putinnyinyi amjamsoma akili za putin, anaangalia muitikio wa marubani wa ukraine. Hizo anazitamani sana wazilete anajifanya kama anaziogopa ili ziingie
Ndo hapo sasa hizo ndege zitarushwa kwa kibali maalum cha NATO au USA au marubani watangezewa mishahara/malipo kwa rubani atakaye rudi uwanjani na ndege ikiwa salama. Hata hivyo, kwa Tabia ya Mrusi kuwa ni kigeugeu haaminiki marubani walengwa wa ndege hizo watamshtukia na hakuna atakayeshawishika kufanya hilo la ahadi hewa. Ingekuwa ni USA katoa hiyo ofa duh! yani kesho tuu ungesikia tayari Sukhoi (su-57)zimeshafikishwa USA haraka sana - Si tuliona lile la Osama Bin Laden lilivyo tekelezwa chap!.?Mbona yale mavifaru ya mjerumani na marekani alitangaza dau na akayapata,,,,,,,.......hapo anajua pia wanajeshi wa Ukraine njaa imezidi lazima kuna ambao watatamani hio ofa
Mbona vile vifaru watu walipewa chao......na hizo ndege kama Houthi tu waliweza kuzitungua na hawana silaha za maana sembuse mrusiNdo hapo sasa hizo ndege zitarushwa kwa kibali maalum cha NATO au USA au marubani watangezewa mishahara/malipo kwa rubani atakaye rudi uwanjani na ndege ikiwa salama. Hata hivyo, kwa Tabia ya Mrusi kuwa ni kigeugeu haaminiki marubani walengwa wa ndege hizo watamshtukia na hakuna atakayeshawishika kufanya hilo la ahadi hewa. Ingekuwa ni USA katoa hiyo ofa duh! yani kesho tuu ungesikia tayari Sukhoi (su-57)zimeshafikishwa USA haraka sana - Si tuliona lile la Osama Bin Laden lilivyo tekelezwa chap!.?
Zikiingia zitamjeruhi vibaya mno na kuondoka salama halafu na kesho yake zitarudi tena kivingine hadi akili zimkae sawa.nyinyi amjamsoma akili za putin, anaangalia muitikio wa marubani wa ukraine. Hizo anazitamani sana wazilete anajifanya kama anaziogopa ili ziingie
Mbona zilishindwa kuwatuliza wa Houthi kipindi wanapigana na saudi arabia na zikaishia kutunguliwaZikiingia zitamjeruhi vibaya mno na kuondoka salama halafu na kesho yake zitarudi tena kivingine hadi akili zimkae sawa.