Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

Militarily hiyo ni kawaida kabisa soma kuhusu NATO backed offer ya Ukraine juu ya marubani wa kirusi kufanya defection ya Su 35 mwaka huuhuu.
Soma pia kuhusu coldwar defection ya Mig 25 dege la kisasa la kisoviet lililoishia Japan.
Soma pia namna ambavyo wamagharibi walikuwa wakiimind Mig 29 ilivyodefecti kwenda Uturuki wakaishawishi Uturuki iruhusu waichunguze Uturuki wakakataa .. hiyo nayo NATO waliishiwa na technology?
Nb.
Military intelligence Ina namna nying ya kupata taarifa kama hiyo
 
Nimekuelewa asante.
 
Kwahio wamagharibi sio waongo., mbona walifungia vyombo vya habari vya urusi ilipoanza vita ya Ukraine, wakataka habari ziwe za upande mmoja........mbona wanataka wengine wavumilie uongo wao ila hawana uvumilivu na "uongo" wa wengine
Mkuu ndo mana inatakiwa kuwa makini na kile unachosoma mitandaoni. Ni ww mwenyewe kupambanua lipi ni la kweli na ni lipi ni propaganda.
 
Russia hawezi kuishi na msariti kwa muda mrefu so hawatoweza kumuamini huyo atakae teka ndege
 
I used to say and am saying again,Russia is just a paper tiger.
 
Anashindwa nini kuboresha mifumo yake ya ulinzi ili kuzishusha hizo ndege?

Kama F16 tu anaanza kutoa fungu la hongo kwa marubani, vipi kwa F18, F22 na F35?
Vita ni mbinu
Hata hii ametumia itamsaidia inawezekana anataka kuwapumbaza westerners waingie kwenye mfumo wake

Hii propaganda ya vita
 
Hii vita Putin anapigana kijanja sana,anairefusha makusudi ili Marekani na nchi za Ulaya wayumbe kiuchumi. Kwani mrusi kaishiwa drones hadi atumie za Iran,kwa nini kachukua tani za silaha kutoka N korea. Ndiyo maana anataka hizo silaha wanazompa Ukrani azitumie hizo hizo kuwachapa nazo. Putin ni genius sana
 
Yaani USA ayumbe kuichumi kuliko Russia aliyevitani?
 
Propaganda....kwa nini iwe leo...F 16 zipo tangu enzi hizo....kwamba KGB walilala hawana blueprint ya hizo mashine.
 
Basi kila mtu afate propaganda anazotaka sio kupangiana
Exactly YES. Lakini humu mitandaoni kuna wengine hushawishi kwa Hoja na wengine Hulazimisha kwa kutoa lugha kali. Vyote unatakiwa pia upambanue na kupima ni uelekeo gani utachukua.
 
Exactly YES. Lakini humu mitandaoni kuna wengine hushawishi kwa Hoja na wengine Hulazimisha kwa kutoa lugha kali. Vyote unatakiwa pia upambanue na kupima ni uelekeo gani utachukua.
Sawa tunaenda na mrusi
 
Na wengine hatuwapendi west sababu ya agenda zao za ushoga
Mwe mwe mweee. Laiti ungelijua East walivyoboboea katika ushoga wala usingelisema hivyo. Jaribu kupata habari e.g. Mji wa Pattaya ulioko huko mashariki nchini Thailand. Ni bora anayefanya ushoga kwa uwazi kwani tutajua amefikia wapi kuliko yule anayeusagia kunguni ushoga kwa wazi lakini huku kwa siri anaufanya na kuuendeleza Hatutajua amefikia wapi ila unastukia paaap" yupo miguuni kwako.
 
Anashindwa nini kuboresha mifumo yake ya ulinzi ili kuzishusha hizo ndege?

Kama F16 tu anaanza kutoa fungu la hongo kwa marubani, vipi kwa F18, F22 na F35?
F-22 habari nyingine aisee..
 
Jaribu kuwa serious
 
Putin ni tapeli, alimlaghai yule mkuu wa mercenaries, Wagner, marehemu Yevgeny Prigozhin, halafu akamla kichwa mchana kweupe, nani atamuamini?

Hapo rubani mpiganaji akijichanganya atoroke na ndege kuwa anaenda kutimiziwa hizo ahadi ndo atajua hajui. Hizo ahadi ni hewa, hapewi chochote na anauawa chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…