Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

Anaepigia mstari anaonekana haihitaji propaganda nyingi.......,mrusi ameshaukataa inatosha.......nyie endeleeni kujiachia na ushoga wenu kwenu si kawaida tu
 
Anaepigia mstari anaonekana haihitaji propaganda nyingi.......,mrusi ameshaukataa inatosha.......nyie endeleeni kujiachia na ushoga wenu kwenu si kawaida tu
Mrusi aliukataa wapi? Mbona ndiye anayeufanya kiasi cha kupitiliza lakini kwa siri? Kama ushoga usingelikuwako huko Urusi basi kungelikuwa hakuna sababu ya kuweka Sheria au Katazo.
Soma hapa..

Russia​

Overview​

Homosexuality is legal in Russia since 1993, however societal anti-homosexual sentiments are high with over 70% of the population holding hostile views towards homosexual people. Currently there are no laws in place protecting LGBT people in Russia from discrimination in areas of employment, housing or military service. However, legally homosexual people are allowed to serve in the military openly. In fact, a law that banned 'propaganda of nontraditional sexual relations' practically legitimises discrimination against LGBT people. Same-sex partnerships is not recognised by law. It is legal to change one's legal gender, but sex reassignment surgery is
 
Vita Hadaa: Hapo uenda kapiga jiwe moja ndege wawili. Moja, kawatisha US 🇺🇸 wabalance uingizwaji wa F16. Pili, kama rubani akifanikiwa kuileta Russia basi watapata advantage ya kuisoma mifumo iliyopo katika ndege hizo.
 
Hio ndo latest

Huku hao unaowatetea wamewaminya waganda sababu ya sheria za kukataa ushoga,,kwahio ili upate visenti vyao ukubali kutinduliwa tope

Kuna watu ni vichwa panzi kabsa hii kauli tu. first ita watia Western hofu ya kupeleka ndege nyingi ,second ita waondolea hali ya kuaminiana marubani wao kwa wao .third wenye tamaa lazima waipeperushe kwel hadi russia [emoji725]
 
Wakati Ulaya na Marekani wana shuka kiuchumi sababu ya vita hivyo, yeye Putin na Urusi yake wanakuwa wanapaa kiuchumi?
 
Huu ndio uwezo wa watanzanzia kufikiria
 
Warusi wachovu tuuuu ktk system za maisha. Uwezi kuwa mjamaaa ukawa na akili nzuri hata siku moja
Mojawapo ya kasoro za Warusi Ni walevi wa kutupwa na hawaishi kujibamba na kujiona wao ndo watu. Lakini pia kama ulivyodokeza hapo juu, wengi wao vichwani ni empty kabisa (Tabula rasa)
 
Mojawapo ya kasoro za Warusi Ni walevi wa kutupwa na hawaishi kujibamba na kujiona wao ndo watu. Lakini pia kama ulivyodokeza hapo juu, wengi wao vichwani ni empty kabisa (Tabula rasa)
Yani taifa la kwanza kwenda anga za juu kwako ni tabula rasa kawasome kina yuri gagarin na mwanamama tereshkova ; na hiyo ni 1960s
 
Yani taifa la kwanza kwenda anga za juu kwako ni tabula rasa kawasome kina yuri gagarin na mwanamama tereshkova ; na hiyo ni 1960s
Sawa. Lakini hao ni wachache i.e. Statistically is an Insignificant figure. Nenda kwenye majority ndo utashangaa.
 
Wakati Ulaya na Marekani wana shuka kiuchumi sababu ya vita hivyo, yeye Putin na Urusi yake wanakuwa wanapaa kiuchumi?
Ukiwasikiliza vijana wa Putin unaona kabisa udini na utoto unawasumbua. Wasamehe bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…