Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran.
Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa.
Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura kote ulaya ba marekani kuomba msaada wa kupambana na nyie mjue hatuwaelewi!!
Malizaneni na huyu mtu. Hii vita ingeshaisha.
Ukipewa wadhifa au cheo kuongoza Hammas, hizbollah na ukamanda huko iran ujue hiyo ni tiket ya kifo.
Putin. Sijui unanielewa. Fanya kama Netanyahu. Utanishukuru.