Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
ILa ni kweli israel ina nuclear lkn sijawahi kumsikia netanyau anatishia kuipiga iran na nucs
Wenye akili wanakaa nazo wanasubiri wakati muafaka. Mijinga ndo huwa inatishia tishia kila siku. Kupiga mkwara