Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
ILa ni kweli israel ina nuclear lkn sijawahi kumsikia netanyau anatishia kuipiga iran na nucsPutin kubwa jingaa tu hana jipya... Kila siku anakesha kutishia kulipua nyukiliaa...wengi wanamsubiria timing tu..Ajikune tu aone moto wakee
Urusi intelligence yao ni sawa na police dhidi ya mikutano ya chadema 🤣🤣🤣Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran.
Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa.
Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura kote ulaya ba marekani kuomba msaada wa kupambana na nyie mjue hatuwaelewi!!
Malizaneni na huyu mtu. Hii vita ingeshaisha.
Ukipewa wadhifa au cheo kuongoza Hammas, hizbollah na ukamanda huko iran ujue hiyo ni tiket ya kifo.
Putin. Sijui unanielewa. Fanya kama Netanyahu. Utanishukuru.
Acheni kumchochea Russia 🇷🇺 Ukraine 🇺🇦 ni ndugu zake wa damu kabisa akitumia akili za Netanyahu Kiev itakuwa GazaUrusi alishakosea hesabu
Muwe mnasoma.Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran.
Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa.
Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura kote ulaya ba marekani kuomba msaada wa kupambana na nyie mjue hatuwaelewi!!
Malizaneni na huyu mtu. Hii vita ingeshaisha.
Ukipewa wadhifa au cheo kuongoza Hammas, hizbollah na ukamanda huko iran ujue hiyo ni tiket ya kifo.
Putin. Sijui unanielewa. Fanya kama Netanyahu. Utanishukuru.
Naona kabisa hii vita mlengwa mkubwa ni AyatollahMuwe mnasoma.
Mkataba wa Vienna unakataza kiongozi aliyopo madarakani kuuwawa (Mfalme, Malikia,Rais, au Waziri Mkuu)
aunadhani Urusi ni mjinga hajui mikataba ya kimataifa
Waliouwawa Iran sio viongoiz wa nchi ni viongozi wa majeshi na wanasayansi ambao inaonekana ndo threat kwa Israel.
Hata Israel haiwezi kumuua Rais wa Iran , ila yule Ayatollah anaweza kuuwawa kwa sababu yeye sio kiongozi wa kuchaguliwa sio Rais wala Waziri Mkuu, wala sio Mfalme.
Vita vitakua vikali pande zoteNaona kabisa hii vita mlengwa mkubwa ni Ayatollah
Huyo ndo mbishi na Wairan walio wengi wamechoka na Uongozi wake wa kiimla. Uongozi ambao haujali hali ya uchumi wa watu yeye anachojua ni kutaka kuangamiza Israel tu na kuunga makundi ya kigaidi yaliyo katika nchi inayozunguka Israel.Naona kabisa hii vita mlengwa mkubwa ni Ayatollah
******** hapa umetupangaUrusi ni myahudi hawezi kugusa ndugu zao
Fuatilia ujue Warusi na Wayukreini asili yao ni wapi mkuu ?******** hapa umetupanga
Hakuna kitu kama hichoFuatilia ujue Warusi na Wayukreini asili yao ni wapi mkuu ?
Wakati Urusi na Ukraine wanapigana******** hapa umetupanga
Kwa hiyo unataka kumaanisha nini?Wakati Urusi na Ukraine wanapigana
Israel hakutoa msaada wowote wa kijeshi kwa Ukraine zaidi wa ule wa kibinadamu kama dawa , bullet prof na ambulance za wagonjwa na chakula.