Russia na Vladimir Putin, jifunzeni kwa Israel ya Netanyahu.

Hivi Mze Wassira hawa jamaa wanakusikia kweli kwa lugha hii unayotumia?
 
Ina maana Iran hana washirika wa kueleweka tofauti na Houthi na Hezbollah?
 
Ibrahim Raisi
 
Russia akifanya hivyo kelele zake Putin na watu wake watatengwa dunia nzima.
Watashitakiwa tena ICJ The Hague Uholanzi.
Israel, Marekani, Ufaransa na Uingereza wanalindwa sana wakifanya uhalifu wowote wa kibinadamu au wa kivita.
Hadi UN utawasikia wanaichukulia hatua Russia.
 
Ibrahim Raisi angeuliwa na Israel vita vingezuka ile ilikua hitilafu ya hali ya hewa kaka na ubovu wa helikopta ..
Angekua ameuliwa na Israel moto ungewaka maana yule alikua mrengo wa kulia sawa na Ayatollah ila Rais wao wa sasa ni wa mrengo wa kati nadhani hapendi vita sana.
 
wale ni ndugu mjomba, putin amue zelensky? Mbona angeishammaliza siku nyingi tu!
 
Saddam aliuawa akiwa raia???
Gaddaf???
 
Huyo ndo mbishi na Wairan walio wengi wamechoka na Uongozi wake wa kiimla. Uongozi ambao haujali hali ya uchumi wa watu yeye anachojua ni kutaka kuangamiza Israel tu na kuunga makundi ya kigaidi yaliyo katika nchi inayozunguka Israel.
Uko too misinformed.
Raia wa Iran wanaishangilia nchi yao muda huu.
 
Uko too misinformed.
Raia wa Iran wanaishangilia nchi yao muda huu.
Duuuu
Nishakuambia Iran kuna wale wa mrengo wa kulia kushoto na neutral
Wa mrengo wa kushoto hawataki vita, ubaguzi wa dini na unyanyasi wa kijinsia na ndo walio wengi , mrengo wa kulia ndo hao wanaoshabikia vita wapo 42% ya Wairan
Asilimia 49% hawataki ukandamizaji wala vita maana vimewaumiza na umaskini kutokana vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na nchi za maghabiri.
Sasa ulitaka hao 42 asilimia walie
 
Kafanye utafiti wako vizuri.
 
Saddam aliuawa akiwa raia???
Gaddaf???
Sadam aliuwawa na nani ?
Sadam hakuuwa from no where , Sadam aliuwawa kutokana na makundi yaliyoanzisha vuguvugu dhidi yake kwa kuchochewa na Nchi za Magharibi ..Aliuwawa na watu wake mwenyewe.
 
Umetoa somo kubwa, mm nadhani hata Ayatollah kumuua ni ngumu maana kama wameweza kumuua mkuu wa majeshi na viongozi wengine, walikua na uwezo wa kumuua hata Ayatollaah.

Ila huku uchambuzi wa Vita ya Iran na Israel umekaa kidini na kishabiki sana, huwezi kupata habari za kweli au michango Neutral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…