green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Soka tena??Sasa hili goli la nini?la mkono au?
Yaani kama chama Cha kisiasa kikiiba kura wanaita goli la mkono...je russia wanachofanya kwa marekani inaitwaje?Soka tena??
Junguu kuu................................Yaani kama chama Cha kisiasa kikiiba kura wanaita goli la mkono...je russia wanachofanya kwa marekani inaitwaje?
Inafikirisha sana jinsi ambavyo Urusi amewala vichwa taratiiibu hao viongozi wa NATO mmoja baada ya mmoja.Siyo Marekan ulaya nzima.. Yule Mhindi alisha liwa kichwa Macron chupuchupu aliwe kichwa Ujeruman nako hali ilikuwa tete
Goli la begaYaani kama chama Cha kisiasa kikiiba kura wanaita goli la mkono...je russia wanachofanya kwa marekani inaitwaje?
UK walianza kula kichwa Cha Boris akaingia Theresa May naye akaliwa sasa Huyu kaba choli naye kachinjiwa bahariniSiyo Marekan ulaya nzima.. Yule Mhindi alisha liwa kichwa Macron chupuchupu aliwe kichwa Ujeruman nako hali ilikuwa tete
Stori zako kuaminika ni ngumu sana.Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na kuhesabia kura sasa Russia wana mrudisha Donald Tramp baada ya Biden kuleta ujuaji..
Cyber crime ndivyo inavyoitwa?Yaani kama chama Cha kisiasa kikiiba kura wanaita goli la mkono...je russia wanachofanya kwa marekani inaitwaje?
La computerSasa hili goli la nini?la mkono au?