Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa

Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na kuhesabia kura sasa Russia wana mrudisha Donald Tramp baada ya Biden kuleta ujuaji..
 
Attachments

  • Screenshot_20240722-193325.png
    Screenshot_20240722-193325.png
    57.2 KB · Views: 8
Siyo Marekan ulaya nzima.. Yule Mhindi alisha liwa kichwa Macron chupuchupu aliwe kichwa Ujeruman nako hali ilikuwa tete
UK walianza kula kichwa Cha Boris akaingia Theresa May naye akaliwa sasa Huyu kaba choli naye kachinjiwa baharini
 
Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na kuhesabia kura sasa Russia wana mrudisha Donald Tramp baada ya Biden kuleta ujuaji..
Stori zako kuaminika ni ngumu sana.
 
Ukraine tu wameshindwa kuwachagulia rais sasa Marekani ndio wataweza wakati hakuna rais wa Marekani anayeweza kuiunga mkono Russia hata iweje.
 
The thing is; USA will never elect a female president, NEVER. Wana hubiri usawa wa kijinsia kwetu BUT they don't practice there; what a hypocrisy
 
Back
Top Bottom